Andrew abel
Member
- Dec 6, 2012
- 49
- 4
Nmgongo gwa n'yoko!
Kha ha ha ha ha haaaaa! Jaribu uone!
Dahh! Yanatikisika? Naomba nipm Luna dawa inatibu.
hiyo dawa itakuwa inamandingo dingo
ingekuwa vipi ungenipeleka na mimi nikatibiwe maana nshachoka kutembea nikihisi nyuma vyura wamewekwa kwenye kisalifeti
ingekuwa vipi ungenipeleka na mimi nikatibiwe maana nshachoka kutembea nikihisi nyuma vyura wamewekwa kwenye kisalifeti
Nmgongo gwa n'yoko!
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.