Nifanyeje kuhusu ili?

Nifanyeje kuhusu ili?

tumeshajua kama mnao hongereni kwa usafiri..

Sorry mkuu, hivi kuwa na gari ni kitu cha kuonesha unacho dunia hii ya leo? Labda ngekua na hili Chrysler ImageUploadedByJamiiForums1404880144.794282.jpg
Kazi sana
 
Wewe ulizaliwa kwenye gari mama?? Kwann mnapepnda kujiweka low?? Panda daladala rudi nyuma kama ulivyozea..!! Unataka mtu akunyanyase kwa ajili ya gari lake?? Don't expect too much

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ningeishia kufanya masturbation! Ngoja nipunguze kumdengulia paw aisee, dah
Hahahahahahh ukiwa mwanaume ni tabu sana, jogoo lazima akimbize, mtu ahonge, simba na wanyama wengine, bila kuonyesha unaweza kupata nanhii sio rhs
 
kwanini umejizoeza hivyo kwa mtu ambae hata si mumeo, ina maana bila hilo gari nyumbani kwenu hufiki? mbaya zaidi na malalamiko unaleta, mwenzio kabla sijaolewa gari ya bf wangu nilikuwa nalipanda wkend tu tukiwa tuna mitoko ya mimi na yeye au labda itokee yeye ndo anipigie kwamba anataka kunifata lakini zaidi ya hapo wala nilikuwa siwazii kuna kitu kinaitwa kufatwa na gari
 
Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu

Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom

Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.

Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?

Mbona huna shukurani wewe!!? Kuna watu hapa wake zao hawapandi magari yao hadi Jumapili wakienda Kanisani, siku nyingine wanadandia daladala kama kawa. ACHA KUDEKA, UMESHAKUWA. :angry:
 
Hutaki kusubiri uwe unakodi bajaji watu wanajisahau sana yeye kuwa mpenzi wako sio kwamba ana wajibu wa kukupeleka na kukupick kila siku mpe space khaa! halafu peaneni nafasi hata yakumisiana kila siku asubuhi na jioni mpo wote mimi hayo mambo siyapendagi.
 
Ungrateful creature!
ila wanaume mna moyo! Yaani kila siku kumpitia mtu! Hapo unakuta anakaa tabata, wewe unakaa sinza, anafanya kazi posta na wewe unafanya mikocheni! Afu unaambiwa huendi bila kupigiwa!

mweeh, im glad i am a woman.

hahaha
"Wanaume tumeumbwaaa.. matesoooo,,, matesoo kuhangaika "
kuna siku nipo kwenye daladala ya posta tabata, nikamsikia mtoto wa kiume kama darasa la nne ivi na sare yake ya shule anaimba kitu cha Gulumo. nilichoka kbs.
 
asnteni kwa ushauri wakuu sideki tena
 
Kabla ya hapa ulikuwa unaendeshaje maisha yako? Je, ratiba yako iko fixed? Mbona naona ni sawa tu kumpigia ili ajue upo tayari kwenda home!!
 
binadam hatuna dogo mie yalinikuta skua na usafiri na kusubiri lift ilikua lazma , ukijifanya una haraka andaa siku za mnuno na usuluhishi yaani ni shiddaaaaaa
 
Kabla ya hapa ulikuwa unaendeshaje maisha yako? Je, ratiba yako iko fixed? Mbona naona ni sawa tu kumpigia ili ajue upo tayari kwenda home!!

She hasto show him tht she can live an independent life...Kujiendekeza huko lol
 
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...

Mapenzi ya Isidingo haya.

Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu

Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom

Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.

Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?

Dogo ebu pitia huu uzi nimeweka link harafu urudi kusema msimamo wako ni upi!

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/687167-mume-ana-gari-3-natembea-kwa-miguu.html
 
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...

Mbona huna shukurani wewe!!? Kuna watu hapa wake zao hawapandi magari yao hadi Jumapili wakienda Kanisani, siku nyingine wanadandia daladala kama kawa. ACHA KUDEKA, UMESHAKUWA. :angry:

Kuna thread inamuhusu huyu dada kujifunzia

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/687167-mume-ana-gari-3-natembea-kwa-miguu.html
loyda
 
Last edited by a moderator:
sema nae kuwa hupendi hali hiyo...au daladala utoke vigimbi vya mikono na miguu.....chezea raha!!!!!!!
 
Back
Top Bottom