Nifanyeje kuhusu ili?

Nifanyeje kuhusu ili?

Unapozungumzia Daladala jifikirie Twice... huko kuna Vifua vikuu majosho magonjwa ya Ngozi Kuibiwa mali kuumia au kumuumiza mwingine, kutoleana maneno machafu n.k sasa wewe Unapitiwa then umepewa nafasi murua pale tu unapokuwa tayari ndio unafuatwa... pole sana kwa Shikrani hizo... ila nakushauri usijaribu kumuuzi akupendae hasara utakayopata ni kubwa sana.... Furahia upatapo nafasi kama hizo... haziji Twice zinaitwa Golden Chance never come twice. kama umechoka muambie tu... ila ataudhika na atakuwa free zaidi hivyo nafasi ya kumpoteza itakuwa karibu... na kama umechoka ni umechoka tu jitoe pengine atakuja mwingine... huwezi jua labda na yeye anakereka kukupitia kila siku

Nimekuelewa mkuu
 
Daaa Mkuu umeongea kwa uchungu hadi I see huyu anaye zungumziwa kwenye hii mada!

Huu ni wasia tosha!
 
Goodness some men put up with so much. The guy is doing you a favour and here you are whining within just a year?
 
Nambie mengine sio ya kufungua siredi

SUPER KIBAMIA LOVER
TEAMO
Aisee! nimecheka sana maana hii comment yako nikiijaribu kUileta Karibu na hii mada ina inakataa kabisa! Daaa

I hope has nothing to do with this thread!
 
Yaani wewe unayepiga tu umechoka je yeye anayeendesha asemeje? Ukibebwa bebeka basi.
 
yaan hata huo msaada anaokupa ujihesabu una bahati tu. Wapo wenzako wanataman kuwa kama wewe alafu unataka kuleta madoido. Watu wa jamii yenu mkiachikaga mnaachka mazima alafu mnaanza kuhaha kutafta wa kuwapenda na hampati
 
loyda Ujue inachosha mkuu,kila sku hadi nipige nsipopiga hadi giza daah solution ni kutafuta hata bajaji tu
utakapoanza kutema vimate mate ndipo utakapoona umuhimu wa mtu kukubeba hiyo Bajaj unweza iendeza huku unapiga Ngoma kubwa ya Brass band??
 
Ungrateful creature!
ila wanaume mna moyo! Yaani kila siku kumpitia mtu! Hapo unakuta anakaa tabata, wewe unakaa sinza, anafanya kazi posta na wewe unafanya mikocheni! Afu unaambiwa huendi bila kupigiwa!

mweeh, im glad i am a woman.
 
ujue ni mpenzi hapo!
haaaana hata uchumba?
yani anaona kazi kupiga simu tu?
just kudial number na kusema am done!
mxxxxxxxxxiou
 
tumeshajua kama mnao hongereni kwa usafiri..
 
Ungrateful creature!
ila wanaume mna moyo! Yaani kila siku kumpitia mtu! Hapo unakuta anakaa tabata, wewe unakaa sinza, anafanya kazi posta na wewe unafanya mikocheni! Afu unaambiwa huendi bila kupigiwa!

mweeh, im glad i am a woman.

Hahahahahahh ukiwa mwanaume ni tabu sana, jogoo lazima akimbize, mtu ahonge, simba na wanyama wengine, bila kuonyesha unaweza kupata nanhii sio rhs
 
kila mwanadam ana element za kichaa walithibitisha wanasayansi watafiti....!
 
Loo kazi ipo ivi wewe ndo unapaswa kumwambia umemaliza kazi aje kukuchukua
Yy mwanaume wewe mwanamke jaman na inaonekana unapenda ugomvi eti uondoke bila kumwambia eti akukute nyumban
Think hii akili or
Kuongea nae hutaki
Bhasi nunue gar lako
 
Back
Top Bottom