TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,027
Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu
Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom
Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.
Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?
Kama una hela sana uwe unakod tax kwan home ukujui....tena umshukuru uyo na anakuja japo kwakuchelewa.....cha mtu mav shost nunua lako..itafka kipindi atakuchoka...wanaume dak 2 mbele...ohooooo