Nifanyeje kuhusu ili?

Nifanyeje kuhusu ili?

Ujue inachosha mkuu,kila sku hadi nipige nsipopiga hadi giza daah solution ni kutafuta hata bajaji tu

ushawahi lipia mafuta..service..?? akiwahi kukufuata na ukiwa hujamaliza kazi aanze kuhangaika kutafuta na kulipia parking alale kwenye gari kukusubiri wewe.. NA SIO MMEO.. na hamchelewi kubadilika nyie watu ..ona vitu vya kitoto ushaanza lawama..ATLEAST THE GUY IS KINDA CONCERNED... ridhika na ushukuru
 
Back
Top Bottom