Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Panda daladala,mtakutana nyumbani.
hahaha hajazoea purukushani za kupandia dirishani ujue
Panda daladala,mtakutana nyumbani.
Naamini mpo wazima wakubwa na wenzangu
Mie nina mpenzi wangu nipo nae kama mwaka sasa
Kilichonifanya niandike hapa mie sina usafiri so analazimika kila siku anipitie home anipeleke kazini na jioni hivyo hivyo anirudishe hom
Ukifika muda wa kurudi daily mpaka nimpigie simu ndipo atoke ofisini kwake aje anifate
Nisipopiga anaweza akanifata hata saa moja usiku.
Nakwazika nahisi sijui ananionaje labda bila yeye hom sirudi nimefikiria jioni niwe najijulia usafiri bila kumpigia kimya kimya tu akijashtuka namwambia mie nipo om,apa nitakuwa nakosea kweli?
mbona hali ya kawaida hiyo mimi nilifikiri hakufat[/QUOTE
Lakini hadi umshtue nikikaa kimya ndo hadi giza hajui natakiwa niwah
Loh!! Salale!! Wenzako hayo magari yenyewe tunapanda jumapili kwenda kanisani we jishebedue tu!!
Lol wacha tu basi nideke nikiwekwa ndan nayasahau hayaaaaaa
bidada unless kama mida hyo unamsubiria unakuwa bado na kazi za kufanya subiri mana walau utaonekana mchapakazi au mnalipwa overtime sawa...otherwise kukaa kazi zishaisha hadi usiku mhhh, si upande usafiri mwingine..?
Ila ndo vile lifti za watu sheeda,..mi zishanishinda kusubiria ratiba ya mtu
Oaneni ikibidi muwe mnabadilishana nani ampitie mwenzie....siku ingine una drive wewe kumpitia yeye...mnarudi home
- Kwani huyo ni mkeo/mmeo wa ndoa?
- hebu tenga dk 5 tu halafu fikiria maisha yako huko nyuma miaka 10 iliyopita uliendeshaje.
- yawezekana anatumia gia ya kukuchukua na kukurudisha ili akuchunge vizuri au afanye mambo yake vizuri. wewe akikumindi kwa sababu umeamua kurudi home mwambie wewe umenjichunga vizuri ndiyo maana kakukuta upo vizuri.
nyie wadudu kazi kweli.......na yeye c yupo job....sasa unaona shida gani kumjuza umemaliza,,,, na umempata kweli huyo....bembeleza ndoa kabisa.....
Inabidi nifanye kitu coz hii inafanya akili yangu isichangamke
Unadeeeka na umempata wa kukudekeza..kuna wenzio waume zao hawajui hata mke anafanya ofisi ipi...
hahaha hajazoea purukushani za kupandia dirishani ujue
nunua la kwako wewe bwana...mbona wadada mnakuwa mna mbwela mbwela bana