Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,397
- 25,089
Business is an art mkuuWakuu habari,
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri.
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle.
Cash ninayo 20M.
usiache kazi, kabla hujapata kazi utakuja kunikumbuka