Nifanyeje ili niache kazi hii?

Nifanyeje ili niache kazi hii?

šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚kote kupo ivo ivo....biashara nayo inatakiwa isikue,ikikua kidogo tu Freemason,mtoto wa nduhuyo kafa ghafla utasikia mjomba wake kamweka dukanšŸ™Š
Sasa nifanyeje, nipe ushauri
 
Wakuu habari.

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle

Cash ninayo 20M
Ukija hapa nilipo na mtaji huo ndani ya mwaka mmoja uko mbali sana
 
Wakuu habari.

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle

Cash ninayo 20M
We acha kutuchezea akili.

Mtu mwenye uwezo kumiliki 20M hawezi kuwa hana idea ya kitu cha kufanya.

Labda kama umekuja kunogesha stori tu hapa.
 
Makazini tunasnichiana sana
Hamna kipya, piga kazi.

20M sio pesa nyingi sana kama hata plans za biashara huna, jichanganye uone zitakavyopukutika

Muhimu, endelea na kazi huku ukiendelea kutunza na kukuza huo mtaji + kutafuta nini cha kufanya.
Uliyeomba ushauri zingatia sana huu USHAURI.
 
Idea z
We acha kutuchezea akili.

Mtu mwenye uwezo kumiliki 20M hawezi kuwa hana idea ya kitu cha kufanya.

Labda kama umekuja kunogesha stori tu hapa.
Idea zipo, ndio nakusanya mawazo ya wengine
 
Wakuu habari.

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle

Cash ninayo 20M
Ndgu hardware haijawahi muangusha mtu, haviozi vitauzika tu
 
Makazini tunasnichiana sana
Hamna kipya, piga kazi.

20M sio pesa nyingi sana kama hata plans za biashara huna, jichanganye uone zitakavyopukutika

Muhimu, endelea na kazi huku ukiendelea kutunza na kukuza huo mtaji + kutafuta nini cha kufanya.
Oh Mie mbona nina 20,000/= (elfu ishirini) naziona nyingi sana! Umenitisha
 
Back
Top Bottom