Hela yoyote kama huna plans uwa haitoshiOh Mie mbona nina 20,000/= (elfu ishirini) naziona nyingi sana! Umenitisha
Investment sio products or procedures it's PLANS. If you don't have PLANS, don't invest. Endelea kupambana na hayo majungu, huku yakikupa hasira kuweka plans ya kitu au vitu utakavyo kuwekeza.Wakuu habari.
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle
Cash ninayo 20M
mjanja sana weweHela yoyote kama huna plans uwa haitoshi
Habari!Wakuu habari.
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle
Cash ninayo 20M
Asante Sana kwa ushauri, kufeli na kufaulu, ni mipango tu ya maisha. Kama ipo ipo tu, Kama haipo haipo tu, hata ufanyejeFanya kile nafsi inakushauri Ili ukifanikiwa au kufeli ujilaumu au kujipongeza mwenyewe.
Asante SanaInvestment sio products or procedures it's PLANS. If you don't have PLANS, don't invest. Endelea kupambana na hayo majungu, huku yakikupa hasira kuweka plans ya kitu au vitu utakavyo kuwekeza.
AsanteNdugu kama uko seriously fanya chagua moja kati ya haya:
1. Tafuta sehemu ambayo mji unaanza kukua na uweke mashine ya kukoboa na kusaga mahindi alafu bakiza mtaji wa kununulia mahindi japo gunia hamsini ambazo utakuwa unauzia hapo mashineni.
2. Tafuta sehemu za mashamba kunako limwa maharage ya njano alafu nunua ekari tano chumba kisima cha kutosha kuhudumia hizo ekari na anza kulima. Kwa mwaka unalima mara tatu.
Kwa hayo niliyokueleza kama utafata huu ushauri na ukasimamia vizuri wewe mwenyewe hakika huta juta kuacha kazi. Maana pesa yako utakuwa unaiona na utakula faida mpaka ushangae.
NB. Biashara yoyote inahitaji committiment.
Asante SanaHiyo Hela inaweza ikawa ndogo sana au pia ikawa kubwa sana,
Kwanza fikiria biashara unayoipenda na Anza kuifatilia kujua faida na changamoto zate epuka marafiki zako wa karibu watakuingiza Chaka wapate Cha kusema.
Kama upo dar na ungependa kufanya biashara ya vifaa vya ujenzi weekend uwe unakuja kwa office nakupa mbili tatu namna ya kuanzia!Asante Sana
Kama unaweza kufanya kazi na ku save hicho kiasi cha pesa.. nakusahuri uendelee kufanya kazi yako kwa moyo mmoja.
Asikudanganye mtu, bongo hakuna mfanyabiashara.. wapo wachuuzi tu..
Yaani ununue kitu 200 utafute wa kumgonga umuuzie 350.. ndo ujasiriamali wa wabongo huo... mwisho w siku ni pasua kichwa..
We endelea na kazi yako.. achana na habari za kuja kua mchuab
Boss biashara zinalipa sana
Chamsingi pesa.Kama unaweza kufanya kazi na ku save hicho kiasi cha pesa.. nakusahuri uendelee kufanya kazi yako kwa moyo mmoja.
Asikudanganye mtu, bongo hakuna mfanyabiashara.. wapo wachuuzi tu..
Yaani ununue kitu 200 utafute wa kumgonga umuuzie 350.. ndo ujasiriamali wa wabongo huo... mwisho w siku ni pasua kichwa..
We endelea na kazi yako.. achana na habari za kuja kua mchuuzi
Kujiajiri lazima uhitimu "majungu"..Wakuu habari,
Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri.
Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle.
Cash ninayo 20M.