Nifanye nini tena labda mnishauri

Nifanye nini tena labda mnishauri

Status
Not open for further replies.
Yaan hapo umetoka shimoni... ukadumbukia tena shimoni. Ushauri wangu embu this tyme tulia. Kama ameamua kukuacha.. achana nae.. japo inauma.. lakin kubali. Jipange.., fanya maombi sana.. mshirikishe Mungu.. atakupa mtu sahihi kwa ajili yako
Huyu binti amezini, hakungoja Mungu Baba ampe mume nzuri yeye kaanza ma uzinzi!!
Je utazini ma wangapi hadi upate mume bora??
Nakushauri tengeneza maisha
yako na Mungu, wako wanaume wazuri Bwn atakupa.
Wacha kutumia hisia na akili zako mwisho utaangamia.
Kuwa na uvumilivu na uaminifu Bwn atakupa ukipendacho!!
Tafuta watu wa Mungu wakuongoze kumjua Mungu, Bwn Mungu atakupa furaha ya moyo wako!!
Bwn akutangulie!!
 
Nilikuwa single kwa muda mrefu sikuwa na imani na wakaka hata kidogo. Mwez jana nikakutana na mkaka mstaarabu na mwenye akili ya maisha alinivutia sana kwa maana alikuwa anahitaji mwanamke wa maisha halikadhalika mimi.

Nikajikuta nimezama kwa kipindi kifupi ndani ya wiki 2 nilijikuta nimemuamini

Ghafla tu akaacha kupokea simu zangu na kutojibu ujumbe
Sikukata tamaa nilimtafuta tena kwa upole sana maana sikujua kosa langu na hatukugombana

Duuuuh sikuamini text yake ya mwisho ilinihuzunisha saaaaanaaa "Its over..kwasasa siko tayari kuwa katika mahusiano"
Nawaza sijui nini nimemfanyia nakosa amani na naogopa kumsumbua zaid nahisi atanichukia.
Usijiulize ufanye nn njoo kwangu
 
Ameen
 
Wala usihangaike nae, unaogopa atakuchukia mara ya ngapi? Huyo alikuja kwa staili hiyo ili umpe mzingo na kweli akafaulu.
Wala usimuwaze muombe Mungu akuongoze kumpata mwenzi wa maisha mdogo wanguu
 
Wala usihangaike nae, unaogopa atakuchukia mara ya ngapi? Huyo alikuja kwa staili hiyo ili umpe mzingo na kweli akafaulu.
Wala usimuwaze muombe Mungu akuongoze kumpata mwenzi wa maisha mdogo wanguu
Ahsante sana
 
Pole Sana ila wanaume ni viumbe fulan kama simba mwenye njaa hua anatafuta kila namna yakuwinda kitoweo akishawinda anakula anashiba anatulia, huyo mwanaume alitaka kupita tu, yawezekana uko vizur kila sekta ila huyo mwanaume alitamani mchezo tu asepe na pia ujifunze jaribu kumchunguza mwanaume kwanza ili ujiridhishe mana wengine waume Za watu hawavai Ata pete mwisho wa cku anakudanganya atakuoa kumbe anafamilia yake, wanaume wakat mwingine mnawafanya wanawake wawe na roho mbaya katika mahusiano sasa wik, 2 ushapata mzigo afu umepewa akiwa na Iman kapata mume afu unazima moto gafla, unahis huyu bint akijakupata mwenye malengo atamwamin Tena, dada tulia sasa omba mungu wako akupe ubavu wako afu pia jitahid kumsoma mtu ujiridhishe kabla yakuanza mahusiano mapya Hawa ndio wanaume wa digital cm ikishaisha Chaji na namba ya demu wake anaidelete wanaume mungu anawaona!!!
Ukisema wanaume... unakuwa umeelemea upande mmoja . Kuna wanawake pia wa design hii... haswa kipindi hiki cha utanda wazi.
sikuiz asilimia kubwa ya vijana haelewi hawanahitaji nn... katika maisha ya ndoa.. wako too selective.. viburi.. mashauzi... na kuendekeza starehe..
 
Pole.
Acha kujilaumu kwa kumwamini kwa kipindi kifupi. Kwa sasa tulia na azimia moyoni mwako kuwa furaha yako ni ya muhimu kuliko kujipa msongo kwa sababu ya mtu.
Jifunze kutambua thamani yako na acha kumbembeleza wala kujiuliza maswali ambayo hayana majibu.
Kama hutojali, una miaka mingapi?
 
Move on girl hakuna haja ya kumuwaza mtu ambae hata pengine hakuwazi kabisa na hana habari na ww na usijishushe ukambembeleza jiamini na ujipende zaidi
Usitafute sababu kwa nn alifanya hivyo coz hata ukiipata iyo sababu itapelekea kwenye jibu moja tu kwamba hajakupenda so just kno hakukupenda alitaka kulala na ww na ameshafanikiwa
Basi unachopaswa ni kujisamehe,kujifunza na kuendelea mbele na mambo mengine ya msingi zaidi
Na kuanzia leo hakuna kumwamini mtu yoyote haswa wanyama wanaoitwa wanaume
 
Wala huna kosa jaman yeye ndo anamatatizo yake mwenyewe sio kwamba mtu akikuacha na basi wewe ndo umekosea
 
Pole.
Acha kujilaumu kwa kumwamini kwa kipindi kifupi. Kwa sasa tulia na azimia moyoni mwako kuwa furaha yako ni ya muhimu kuliko kujipa msongo kwa sababu ya mtu.
Jifunze kutambua thamani yako na acha kumbembeleza wala kujiuliza maswali ambayo hayana majibu.
Kama hutojali, una miaka mingapi?
Am 23
 
Move on girl hakuna haja ya kumuwaza mtu ambae hata pengine hakuwazi kabisa na hana habari na ww na usijishushe ukambembeleza jiamini na ujipende zaidi
Usitafute sababu kwa nn alifanya hivyo coz hata ukiipata iyo sababu itapelekea kwenye jibu moja tu kwamba hajakupenda so just kno hakukupenda alitaka kulala na ww na ameshafanikiwa
Basi unachopaswa ni kujisamehe,kujifunza na kuendelea mbele na mambo mengine ya msingi zaidi
Na kuanzia leo hakuna kumwamini mtu yoyote haswa wanyama wanaoitwa wanaume
Fact
 
Achana nae na usimtafute wala kuhangaika nae. Usiogope kuingia kwenye uhusiano mpya ila safari hii kuwa mwangalifu zaidi na umpatie hisia zako mtu mwenye malengo uliyokusudia ambae ameonyesha kuyatimiza kwa vitendo na si kwa ahadi.
Ukitaka mwanaume akupende,hata kama umempatia mambo ya kikubwa,bado umwonyeshe kuwa unajithamini na si wa kutetereka au kushoboka sana. Onyesha kujielewa na kuwa na msimamo na sio kubehave kama mtu wa bei rahisi. Usimwonyeshe kumtegemea kupita kiasi,zingatia ratiba ya shughuli zako bila kumtengea muda yeye isipokuwa kama mmepanga muda wa kuwa pamoja.
Mtake ushauri katika shughuli unazofanya na akikupatia ushauri,onyesha kuufuata na umpatie matokeo.
Onyesha bidii katika kazi zako na ayaone matunda ya kile unachokifanya na kumwonyesha kuwa unathamini shughuli zako na malengo uliyojiwekea.
Punguza marafiki wa kiume ila usisite kupokea simu au kusalimia wanaume wanaokupigia au kukusalimia huku akiwapo.
Usijionyeshe kuwa mtu mwenye dharau au kumlinganisha na watu waliomzidi kipato au waliomzidi kwa namna yoyote kwa lengo la kumuumiza. Maana unaweza ukadhani ukimfanyia hivyo atakuona bab kubwa na kukuhonga sana ili usimkimbie. Ukweli ni kuwa wanaofanya hivyo ni wanaume wachache ambao ni wageni wa mapenzi au wenye nia ya kukutumia haraka na kuachana na wewe na wale wasiojiamini.
Akikuita mahali mwonane au akikutoa out, vaa na upendeze kwa namna inayoendana na tukio. Kama amekuita mwende beach,vaa nguo za casual lakini zenye heshima ambazo hazikufanyi uonekane kama mlupo au demu,bali uonekane ni msichana au mwanamke wake. Kama ni kwenye harusi,pigilia nguo smart sana na nywele uziset vyema na ikiwezekana tafiti hata rangi za ukumbi au sare ili usiwe out of place. Kama ni msibani, usivae suruali ya jeans au mini skirt yenye mpasuo. Vaa nguo ya heshima na uwe na angalau ka khanga na mtandio wa kufunika kichwa. Mfanye ajisikie vizuri umiwa nae.

Usiwe mtu wa kulalamikalalamika au kunung'unika kila mara au kususasusa bila sababu za msingi.
Jifunze kutabasamu ukiwa nae bila hata sababu. Mwonyeshe kuwa una furaha inayotoka ndani yako na siyo kununa na kuwa serious muda wote labda kuwe na jambo la msingi la kukufanya kuwa hivyo.
Kuwa na marafiki wanaojielewa na sio wale waluwalu au ambao wanaonekana dhahiri kuwa wamekata tamaa.
Onyesha ukomavu katika kutatua mambo na usipende kuhusisha watu wengine katika migogoro yenu. Sio mnagombana kidogo,tayari umewapigia marafiki zako au mmepanga kitu,tayari umeomba ushauri kwa mashosti zako.
Punguza mazoea na marafiki wa mwanaume ulienae. Usijenge maziea ya kuwapigia simu au kuwatafutatafuta, mwanaume wako atakutafsiri kuwa uko easy na pia hao marafiki zake ndio wanaokutathmini na kumshauri kama unafaa au lah.
Ukigundua anakucheat,tafuta ushahidi taratibu na ukithibitisha, mweleze na asipoonyesha dalili za kubadilika,mpige chini bila kujihoji mara mbili.
Wapende ndugu zake na wasiliana nao bila yeye kujua mradi alikutambulisha kwao labda kama halipendi hilo. Panga nao ratiba za kwenda sehemu kutembelea n.k bila kumhusisha. Hilo litakusaidia kumjua na pia wewe kujisogeza karibu na familia yake.
Mfanyie surprise kwa kumnunulia kitu ambacho hakutarajia bila kumjulisha kuwa unakusudia kufanya hivyo. Ambatanisha zawadi hiyo na ujumbe mzuri unaoelezea namna unavyompenda n.k
Usimfiche maswala kama ya kuwa na watoto au watu angalau wawili uliowahi kutoka nao kabla yake.
Jaribu kuzingatia haya na mahusiano yako yanaweza kukomaa na kuwa ya kudumu au ndoa maana wanaume wengi wasiooa wanaogopa mtu mwenye dalili za kuwaelemea kuanzia mwanzoni tu mwa uhusiano huku wao wakiwa hawako tayari kwa majukumu.
Pia ukimfanya mwanaume auone uhusiano wako na yeye kuwa burudani na kitu chenye kumfanya ajisikie vizuri, ni lazima atatafuta namna ya kukufanya uwe patna wake wa kudumu tofauti na pale unapokuwa chanzo cha yeye kukasirika,kuhuzunika, kukereka kila mara na kuchoka akili, ni lazima akukwepe au kukwambia live kuwa hakutaki.
Nimekueleza haya maana wengi wenu wanawake,huwa hamjui makosa mnayofanya na mnadhani watu wanawaacha bila sababu na kushangaa wanaoa watu mnaodhani mmewazidi.
Hata hivyo, wanaume wana preferences tofauti,wengine watachangia.
 
Usimpe mtu haraka haraka tu Wiki mbili kuwa muangalifu inaonekana pia ulimuonyesha uko desperate sana jiamini binti 23yrs ushakuwa mdada mkubwa tu usilie lie tena
 
Nilikuwa single kwa muda mrefu sikuwa na imani na wakaka hata kidogo. Mwez jana nikakutana na mkaka mstaarabu na mwenye akili ya maisha alinivutia sana kwa maana alikuwa anahitaji mwanamke wa maisha halikadhalika mimi.

Nikajikuta nimezama kwa kipindi kifupi ndani ya wiki 2 nilijikuta nimemuamini

Ghafla tu akaacha kupokea simu zangu na kutojibu ujumbe
Sikukata tamaa nilimtafuta tena kwa upole sana maana sikujua kosa langu na hatukugombana

Duuuuh sikuamini text yake ya mwisho ilinihuzunisha saaaaanaaa "Its over..kwasasa siko tayari kuwa katika mahusiano"
Nawaza sijui nini nimemfanyia nakosa amani na naogopa kumsumbua zaid nahisi atanichukia.
Ni pm mimi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom