Nifanye nini tena labda mnishauri

Nifanye nini tena labda mnishauri

Status
Not open for further replies.
Yaan hapo umetoka shimoni... ukadumbukia tena shimoni. Ushauri wangu embu this tyme tulia. Kama ameamua kukuacha.. achana nae.. japo inauma.. lakin kubali. Jipange.., fanya maombi sana.. mshirikishe Mungu.. atakupa mtu sahihi kwa ajili yako
Nashkur ndugu yangu....I will
 
Pole sana,hayo ndo mapenzi! siku nyingine mtu akikuambia anakupenda jiulize kavutiwa na nini kwako....alivyokuona kwa nje na ndani kakuta tofauti,chakufia nini?
 
Pole sana,hayo ndo mapenzi! siku nyingine mtu akikuambia anakupenda jiulize kavutiwa na nini kwako....alivyokuona kwa nje na ndani kakuta tofauti,chakufia nini?
Hahaha sante
 
Naumia tu kwa vile nilimpenda
Inabidi utulie Kama mdau alivyokushauri hapo Juu...Mahusiano ya wk mbili kusahau rahisi!!!then usiwe mwepesi Wa kuexpect makubwa unapoanza mahusiano na kumuamini MTU asilimia zote...All the best!!Keep enjoyn
 
Yaan hapo umetoka shimoni... ukadumbukia tena shimoni. Ushauri wangu embu this tyme tulia. Kama ameamua kukuacha.. achana nae.. japo inauma.. lakin kubali. Jipange.., fanya maombi sana.. mshirikishe Mungu.. atakupa mtu sahihi kwa ajili yako
Atuliee ataolewa lini wkt age ishakimbia inasoma 32 alivyokuwa na age ya24 alikuwa anaringia wanaume wanaompenda kwa dhati
 
Inabidi utulie Kama mdau alivyokushauri hapo Juu...Mahusiano ya wk mbili kusahau rahisi!!!then usiwe mwepesi Wa kuexpect makubwa unapoanza mahusiano na kumuamini MTU asilimia zote...All the best!!Keep enjoyn
Ok,thank you
 
Pole Sana ila wanaume ni viumbe fulan kama simba mwenye njaa hua anatafuta kila namna yakuwinda kitoweo akishawinda anakula anashiba anatulia, huyo mwanaume alitaka kupita tu, yawezekana uko vizur kila sekta ila huyo mwanaume alitamani mchezo tu asepe na pia ujifunze jaribu kumchunguza mwanaume kwanza ili ujiridhishe mana wengine waume Za watu hawavai Ata pete mwisho wa cku anakudanganya atakuoa kumbe anafamilia yake, wanaume wakat mwingine mnawafanya wanawake wawe na roho mbaya katika mahusiano sasa wik, 2 ushapata mzigo afu umepewa akiwa na Iman kapata mume afu unazima moto gafla, unahis huyu bint akijakupata mwenye malengo atamwamin Tena, dada tulia sasa omba mungu wako akupe ubavu wako afu pia jitahid kumsoma mtu ujiridhishe kabla yakuanza mahusiano mapya Hawa ndio wanaume wa digital cm ikishaisha Chaji na namba ya demu wake anaidelete wanaume mungu anawaona!!!
 
Nilikuwa single kwa muda mrefu sikuwa na imani na wakaka hata kidogo. Mwez jana nikakutana na mkaka mstaarabu na mwenye akili ya maisha alinivutia sana kwa maana alikuwa anahitaji mwanamke wa maisha halikadhalika mimi.

Nikajikuta nimezama kwa kipindi kifupi ndani ya wiki 2 nilijikuta nimemuamini

Ghafla tu akaacha kupokea simu zangu na kutojibu ujumbe
Sikukata tamaa nilimtafuta tena kwa upole sana maana sikujua kosa langu na hatukugombana

Duuuuh sikuamini text yake ya mwisho ilinihuzunisha saaaaanaaa "Its over..kwasasa siko tayari kuwa katika mahusiano"
Nawaza sijui nini nimemfanyia nakosa amani na naogopa kumsumbua zaid nahisi atanichukia.

weka picha tukusaidie vizuri
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom