mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 945
- 772
Kwa kuwa Leo ni Jumapili...
Ushauri wangu kwako. ..usizini
Ushauri wangu kwako. ..usizini
Am 23
Ukute kuna watu wamekufuatilia miezi na miezi ukawatolea nje!!!....Huyu wk mbili tu na game umempa...!!Nilikuwa single kwa muda mrefu sikuwa na imani na wakaka hata kidogo. Mwez jana nikakutana na mkaka mstaarabu na mwenye akili ya maisha alinivutia sana kwa maana alikuwa anahitaji mwanamke wa maisha halikadhalika mimi.
Nikajikuta nimezama kwa kipindi kifupi ndani ya wiki 2 nilijikuta nimemuamini
Ghafla tu akaacha kupokea simu zangu na kutojibu ujumbe
Sikukata tamaa nilimtafuta tena kwa upole sana maana sikujua kosa langu na hatukugombana
Duuuuh sikuamini text yake ya mwisho ilinihuzunisha saaaaanaaa "Its over..kwasasa siko tayari kuwa katika mahusiano"
Nawaza sijui nini nimemfanyia nakosa amani na naogopa kumsumbua zaid nahisi atanichukia.
Hujui hvy una haki ya kusema hayo. ....Utakuwa ulitamani maisha yake, maana nyie mkiona kijana ameshaweka viasset na mambo fulani getto kwake hamchelewi kisema nmempenda coz ana akili ya maisha na anajiweza, hapo na sisi tunatumia fursa maana kabla ya hapo huwa tunapata changamoto kuwapata watu km wewe, badilika.
nice words,....wanaume wengi wako hivi.
ukimwonjesha ndio umemtimua ataanza kuogopa kupigwa vizinga na kupigiwa simu maana wengine ni waume za watu!alichokuwa anatafuta amekipata.mwanaume yuko tofauti huwa anatamani kisha ndio anakuja kupenda.unaweza kujihisi labda una kasoro ndio sababu lakini hapana ukifikiria hivyo utazidi kuwaonjesha kama muuza karanga mwisho wa siku hakuna hata mmoja atanunua karanga zako.watakwambia mara zimeungua au hazijaiva vizuri.pole sana subiri tu ipo siku utapata soulmate wako
Ahaaa