Nifanye nini tena labda mnishauri

Nifanye nini tena labda mnishauri

Status
Not open for further replies.
Pole Sana ila wanaume ni viumbe fulan kama simba mwenye njaa hua anatafuta kila namna yakuwinda kitoweo akishawinda anakula anashiba anatulia, huyo mwanaume alitaka kupita tu, yawezekana uko vizur kila sekta ila huyo mwanaume alitamani mchezo tu asepe na pia ujifunze jaribu kumchunguza mwanaume kwanza ili ujiridhishe mana wengine waume Za watu hawavai Ata pete mwisho wa cku anakudanganya atakuoa kumbe anafamilia yake, wanaume wakat mwingine mnawafanya wanawake wawe na roho mbaya katika mahusiano sasa wik, 2 ushapata mzigo afu umepewa akiwa na Iman kapata mume afu unazima moto gafla, unahis huyu bint akijakupata mwenye malengo atamwamin Tena, dada tulia sasa omba mungu wako akupe ubavu wako afu pia jitahid kumsoma mtu ujiridhishe kabla yakuanza mahusiano mapya Hawa ndio wanaume wa digital cm ikishaisha Chaji na namba ya demu wake anaidelete wanaume mungu anawaona!!!
Ahsante sana nimekuelewa vizur....Cwez kurudia kosa tena nimepata fundisho
 
Ni kwavile nilimwamin saana.
Acha kulia, maisha yataenda tu kama kawaida. Tatizo kubwa kwetu sisi binadamu niwagumu kukubali tatizo, na usilazimishe huenda atakufanyia makubwa ukiforce!!! Mshukuru mungu amekitamkia kuliko angeendelea kukumega halafu baadae sana akakitosa.
Stand up!!!!!!! Life goes on
 
Nilikuwa single kwa muda mrefu sikuwa na imani na wakaka hata kidogo. Mwez jana nikakutana na mkaka mstaarabu na mwenye akili ya maisha alinivutia sana kwa maana alikuwa anahitaji mwanamke wa maisha halikadhalika mimi.

Nikajikuta nimezama kwa kipindi kifupi ndani ya wiki 2 nilijikuta nimemuamini

Ghafla tu akaacha kupokea simu zangu na kutojibu ujumbe
Sikukata tamaa nilimtafuta tena kwa upole sana maana sikujua kosa langu na hatukugombana

Duuuuh sikuamini text yake ya mwisho ilinihuzunisha saaaaanaaa "Its over..kwasasa siko tayari kuwa katika mahusiano"
Nawaza sijui nini nimemfanyia nakosa amani na naogopa kumsumbua zaid nahisi atanichukia.
Pole sana.. Jiamini, Kuwa mvumilivu, hapana kukata tamaa, 2 weeks ni muda mfupi kuweza kutoa Judgement khs mwenza wako.

Yawezekana jamaa yako kapatwa na Uoga au kuna kitu hajavutiwa nacho toka kwako sababu ya muda mfupi mliokaa ktk uhusiano,
mpe muda anaweza akakuelewa na akarudisha mawasiliano tena na ww.
 
Tatizo wakina dada walio wengi wakiwa kwenye mahusiano wanawaza ndoa ndo wengi wanakamatiwa hpo tu , kina cha maji hakipimwi kwa macho utaishia kuzama pima kwa vipimo vyako kama unaetaka kuwa n sahihi kwako
 
Acha kulia, maisha yataenda tu kama kawaida. Tatizo kubwa kwetu sisi binadamu niwagumu kukubali tatizo, na usilazimishe huenda atakufanyia makubwa ukiforce!!! Mshukuru mungu amekitamkia kuliko angeendelea kukumega halafu baadae sana akakitosa.
Stand up!!!!!!! Life goes on
Thank you very much
 
Pole sana.. Jiamini, Kuwa mvumilivu, hapana kukata tamaa, 2 weeks ni muda mfupi kuweza kutoa Judgement khs mwenza wako.

Yawezekana jamaa yako kapatwa na Uoga au kuna kitu hajavutiwa nacho toka kwako sababu ya muda mfupi mliokaa ktk uhusiano,
mpe muda anaweza akakuelewa na akarudisha mawasiliano tena na ww.
Sawa
 
Kuna watu walipenda kama wewe sasa wanatamani bora ingekuwa kama wewe wapate nafasi nyingine ya kuwa na wenza tofauti!!
Dry your eyes and move on!
What doesn't kill you makes stronger!!
 
Kuna watu walipenda kama wewe sasa wanatamani bora ingekuwa kama wewe wapate nafasi nyingine ya kuwa na wenza tofauti!!
Dry your eyes and move on!
What doesn't kill you makes stronger!!
Thank you
 
Mwanamke na kuongopewa wanaishi jirani sana, ukimtongoza binti ukamuomba mapenzi tu bila ndoa hutapata kitu ila ukimwambia nitakuoa baadae ooh! Ndani ya wiki 2 tayari umeshambunguwa. Kila mtu na msalaba wake maana baada ya miezi kadhaa utadanganywa tena kwa style nyingine kwani wanawake wengi mnapenda sweet lies.
 
Oki
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom