Nifanye nini tena labda mnishauri

Nifanye nini tena labda mnishauri

Status
Not open for further replies.
Usijali ni wajibu wa kila mwanadamu kumsaidia binadamu mwenzake kwa matatizo mbali mbali kulinda na uwezo wao na wa mwenyezi mungu pia........

Nakutakia maisha mema ya uhusiano huko utakapoenda, but kuwa makini tena sana.
Thank you very much
 
Heri ww ila nilichofanyiwa na mdada mwenzio sitoka nipende amenipelekea nipo kwenye wakati mgumu sana kwenye maisha yangu....
Oooooh pole sana kwa hlo...ila usihukum mtu mwingine kwa kosa la mtu mwingine....zaid ya kuwa makini tu hcho ndo nilichojifunza leo kutoka kwa dada na kaka zangu
 
Oooooh pole sana kwa hlo...ila usihukum mtu mwingine kwa kosa la mtu mwingine....zaid ya kuwa makini tu hcho ndo nilichojifunza leo kutoka kwa dada na kaka zangu
Anyway pole sanaaaa ila nakuomba ujifunze mapenzi hayako fair kabisaa.... Aina aja uyaishi
 
KAMA VIPI NJOO KWANGU MACHUNGU YATAISHA. HATA USIPONIPA MCHEZO MIMI NAPENDA TU NIKULIWAZE
 
KAMA VIPI NJOO KWANGU MACHUNGU YATAISHA. HATA USIPONIPA MCHEZO MIMI NAPENDA TU NIKULIWAZE
 
hii thread ya leo nimeipenda sana

wana jamvi wamenionyesha ni ma great sage na mimi nimejifunza kitu humu

pole mdogo wangu ila usikate tamaa wee endelea tu ivyo ivyo maana wanaume hatuelewekagi mpaka upate aliyetulia hapo ipo kazi. anayenipenda mimi ana kazi sana
 
Ahsante sana......
 
Utakuwa ulitamani maisha yake, maana nyie mkiona kijana ameshaweka viasset na mambo fulani getto kwake hamchelewi kisema nmempenda coz ana akili ya maisha na anajiweza, hapo na sisi tunatumia fursa maana kabla ya hapo huwa tunapata changamoto kuwapata watu km wewe, badilika.
 
Mpotezee tu hata kama umeshampa papuchi..... sio kila mtu anadeserve your attention lipotezeee
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom