Nifanye nini karo la choo lisijae haraka?

Nifanye nini karo la choo lisijae haraka?

Zinaitwaje mkuu wangu nipe jina lake nizitafute angalau mzigo ushuke kidogo vyuma ni tatizo Mkuu
nadhani ni sodium carbonate au caustic soda nimeona watu wengi wanatumia kwa clogged toilet .kwa hiyo ukimwagia mule makimbani yataungua maana ile ni corrosive kwa organic materials.
 
Hhahaha usinambie mademu wa JF wanapenda "kunyamba mafi" LOL
Mkuu Naomba sana sana Usichelewe wahi Umkague kiutu Uzima Mzigua 90
Awe Mwanamke mwenye busara,
Najua Sakayo,Numbisa,Evelyn salt punde Watakufuata Uwatakase,uwaongezee Busara Za "Kibabu" Hakika Hawatajuta,tena watajilaumu Siku zote walikuwa wapi!
Hii ndo Mademu wa JF wanakupendea
 
Hhahahahah we jamaa umenichekesha sana... Tatizo huyu Mzigua90 mbishi sana. Kila nikimwita kwenye anga zangu anatafuta visababu vyake. Shauri zake...
 
Hhahahahah we jamaa umenichekesha sana... Tatizo huyu Mzigua90 mbishi sana. Kila nikimwita kwenye anga zangu anatafuta visababu vyake. Shauri zake...
Mkuu Sitaki kuamini Kuwa Kwa busara zako zooote unashindwa Kumshawishi huyu mrembo kuja Anga zako!
Mkuu huyu Mzigua90 anapenda viwanja vikubwa,Pia Anaona kama haupo Seriously, Amenitonya kidogo,anaona unaongea tuu bila vitendo....
 
Hebu ngoja kwanza... isije ikawa kweli nachezea shilingi chooni
 
Mkuu sijawahi kuulizia. Ngoja ntacheki na meneja wa PK bar pale Tegeta. Ye ndo anazitumia kwa sana. Alikuwa ananyonya mzigo kila baada ya miezi mitatu, tangu aanze kuzitumia huu ni mwaka wa pili sasa hajafanya hayo mambo tena...
Asante sana mkuu ntakushukuru sana yaani nikizipata jina lake nijuze kupitia no 0756695846
 
Chukua maji ya betri ile acid chupa 2 nya yote inageuka maji
Mkuuu Unamaanisha ninunue yale maji ya betri chupa 2 au zaidi niweke au lazima yawe yamesha tumika mkuu naomba mwongoZo wako mkuuu 0756695846
 
nadhani ni sodium carbonate au caustic soda nimeona watu wengi wanatumia kwa clogged toilet .kwa hiyo ukimwagia mule makimbani yataungua maana ile ni corrosive kwa organic materials.
Mkuu naomba unitafute hata sms za kawaida au wasap au unipe no yako nikupigie unielekeze vizur 0756695846
 
Maneno gani hayo
Usiue wadudu maggots wadududndio wanaokula mavi na kuyapunguza, watu wengi tunakosea sana kuelekeza maji ya bafuni na kudekia kwenye choo, haya maji yana kemikali kama jik, na other disinfectants na hizi zinawauwa wadudu muhimu ... mwite fundi akubadilishie chemba za bafuni kwa bafuni aweke sock-away pit na grease trap
 
Mkuu shimo ninalo 1 tu je inawezekana kubadilisha maji na kinyesi na kivipi hapo si mpaka nichimbe shimo lingine? Kama ujanja wa kufanya hivo naomba msaada wenu vyuma vumebana
 
Pole Kwa hiyo changamomtomkuu
Hujafafanua vyema
Una mashimo yote mawili? Yaani septic soakwaypit? Jibu hapo then tuendelee
Nina shimo 1 tu mkuu nikitaka angalua dawa ya kuyeyusha mzigo upungue maisha yaendelee mkuuu
 
Mkuu Hujawah kuijua hii dawa?
Nadhani inategemea na maeneo uliyopo yana udongo wa aina gani. Kama mimi huku kwetu nina miaka 20 sasa shimo halijajaa... na niko na njemba zinakunya balaa.

Lakini nikiwa Sinza... njemba zikiwa bado miduchu...hatukuwa tunamaliza mwaka bila kuita nyonyanyonya...

Kuna dawa za kichina nimeona jamaa wengi wenye mabaa wanazitumia. Shimo likijaa wanamimina kwenye shimo baada ya muda mzigo unashuka chini...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom