Namaanisha septic tank na soakway tank?Pole Kwa hiyo changamomtomkuu
Hujafafanua vyema
Una mashimo yote mawili? Yaani septic soakwaypit? Jibu hapo then tuendelee
Namaanisha septic tank na soakway tank?Pole Kwa hiyo changamomtomkuu
Hujafafanua vyema
Una mashimo yote mawili? Yaani septic soakwaypit? Jibu hapo then tuendelee
Sina nyingine mkuu maana sijawahi kujaza choo mkuuNi shimo 1 tu sina sehemu nyingine ya kuchimba harafu pia vyuma mkuu we mbinu ingine ya kusaidia mana hata nikinyonya kitajaa tena na inaweza kywa haraka zaidi
Ewaaaa,mimi pia wakati najenga nilikurupuka nikachimba shimo moja. Mtaalamu mmoja akanipa hiyo idea ya kutenganisha,nikachimba shimo futi 8 kwa ajili ya mabafu. Lile shimo likatupiwa mawe futi 4 naMaji ya sabuni mnayooga yanauwa wale wadudu funza wanashindwa kuvuruga kinyesi kiwe majimaji kipenye kwenda ardhini badili njia ya maji ya bafuni yasiingie humo
Zinaitwaje mkuu wangu nipe jina lake nizitafute angalau mzigo ushuke kidogo vyuma ni tatizo MkuuNadhani inategemea na maeneo uliyopo yana udongo wa aina gani. Kama mimi huku kwetu nina miaka 20 sasa shimo halijajaa... na niko na njemba zinakunya balaa.
Lakini nikiwa Sinza... njemba zikiwa bado miduchu...hatukuwa tunamaliza mwaka bila kuita nyonyanyonya...
Kuna dawa za kichina nimeona jamaa wengi wenye mabaa wanazitumia. Shimo likijaa wanamimina kwenye shimo baada ya muda mzigo unashuka chini...
Mkuu zinaitwaje hizo dawa za kichina?Nadhani inategemea na maeneo uliyopo yana udongo wa aina gani. Kama mimi huku kwetu nina miaka 20 sasa shimo halijajaa... na niko na njemba zinakunya balaa.
Lakini nikiwa Sinza... njemba zikiwa bado miduchu...hatukuwa tunamaliza mwaka bila kuita nyonyanyonya...
Kuna dawa za kichina nimeona jamaa wengi wenye mabaa wanazitumia. Shimo likijaa wanamimina kwenye shimo baada ya muda mzigo unashuka chini...
Hahahaha we jamaa BanaaaNadhani inategemea na maeneo uliyopo yana udongo wa aina gani. Kama mimi huku kwetu nina miaka 20 sasa shimo halijajaa... na niko na njemba zinakunya balaa.
Lakini nikiwa Sinza... njemba zikiwa bado miduchu...hatukuwa tunamaliza mwaka bila kuita nyonyanyonya...
Kuna dawa za kichina nimeona jamaa wengi wenye mabaa wanazitumia. Shimo likijaa wanamimina kwenye shimo baada ya muda mzigo unashuka chini...
Nina shimo 1 mkuu wangu na eneo ni dogo sina nafas ya kuchimba lingine pia vyuma ni kikwazo mkuu nishaur nfanyeje. Maana hata nikinyonya halita kaa mda mrefu ni mwaka 1 tu tayar maana mara ya 1 lilikaa miaka 5 now imekuwa mwaka 1 na nusu tu wengine wanasema eti kuna madawa ya kichina ukimiminia kwenye karo mzigo unaporomoka sasa sjui hizo dawa zinaitwaje nizitafute pia wengine wanasema niweke chumvi kama kg 50 au 100Pole Kwa hiyo changamomtomkuu
Hujafafanua vyema
Una mashimo yote mawili? Yaani septic soakwaypit? Jibu hapo then tuendelee
Unamaanisha nn kusema wengine wanataka mashimo yawe usawa wa ardhi kwani kuna mashimo yanakuwa hewani..fafanua plzSehemu zenye high water table jitahidi soak away pit yako itokeze angalau 30cm above ground level! Wengi siku hizi wanataka mashimo yawe usawa wa ardhi hapo lazima kijae kila siku!
Unamaanisha nn kusema wengine wanataka mashimo yawe usawa wa ardhi kwani kuna mashimo yanakuwa hewani..fafanua plz
Unamaanisha nn kusema wengine wanataka mashimo yawe usawa wa ardhi kwani kuna mashimo yanakuwa hewani..fafanua plz