kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,985
- 21,247
Pwagu na pwaguzi
Anajisahau sana!Hahahaha, kijana mmemkaba kwelikweli..
😂😂 AnazinguaPunguza nyege boss... Maisha hayahitaji makasiriko na visukari
Niko makini mkuu ,kumkaza namkaza ila DayZ zake nazijuaSawa mkuu watamharibia wengine ukizubaa mzigo utabebeshwa wewe
Kitamsaidia nini?Ila kumkaza usiache mkuu ata akibadilila mbeleni usha kisanya chako
Mtoto mtamu k haijachakachuliwa na uzazi wa mpango😂😂Pwagu na pwaguzi
Samahan bro ila we bado mtoto kubali mkuuNiko makini mkuu ,kumkaza namkaza ila DayZ zake nazijua
Kufidishia gharama na mudaKitamsaidia nini?
Amna kaka sema naplay najinsi Tena anavyoenenda ,demu yeye Mimi ndio first lover wake hvo lazima awe hvo na Mimi nasema nae hvo hvoSamahan bro ila we bado mtoto kubali mkuu
MAPENZI YA WATOTO, NO FORIMURA LAKINI HIYO HAIPO DOGO KOMAA NA MISHE ZAKO HUYO ATAGONGWA NA WANAFUNZI WENZIE.Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂
Ujinga tuKufidishia gharama na muda
KawaidaKufidishia gharama na muda
Mkanye dada asiwe anawaza negativuUjinga tu
Situmiag mkuu ,demu unaempenda Kwa dhati huwez mletea ujinga huoMle kiboga😂
dada ganiMkanye dada asiwe anawaza negativu
I
dada gani
sawa niki mbishiNgoja tuone ila hiyo ipo ,uligongewa,unagongewa na utagongeea, by formula
SawaWewe apo