Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

Hawa mixed breeds aka mbwa koko wa kawaida ni kupoteza muda. Tafuta breed anayefahamika kama pitbull. Sijui kama wapo Bongo. Huyu ni hatari. Anaweza kukurarua hata wewe mwenyewe ukapoteza viungo na kuumbuka mtaani kwenu.

Hata German shephered wanajitahidi kwa hulinzi, sio haba
 
Usimzoeshe kumfungua mchana labda kama unamuogesha...mpe chakula mara moja tu usiku ukimfungulia..mpe chakula ila at least mara moja nyama na mifupa kutest meno yasilemae na softfood....halaf ujaribu kuwa una msemesha matendo kama kukamata au kuacha kufanya kitu....zingatia itasaidia...ila inategemea na aina ya mbwa ulikomtoa...kama ile jamii flan inayoshinda sebulen kwa Wema Sepetu hawezi kuwa mkali hata ukimvutisha bange ndo atazidisha usingizi

Haaahahahaha kaz za hao ni kulamba papuchi tu
 
Mlishe masega ya nyigu (Dondola). Atakuwa mkali balaa
 
Mchanganyie msokoto na nyamaa mkuu...unauchambua fresh afu unamchanganyia na nyamaa...

Swaddakta mkuu dabo

Sasa wewe kampe kama alivyosema mkuu dabo hapo juu uone kama humo ndani mtakalika..utakijua kilichomtoa mbuni manyoya,hii jamaa'angu mmoja alifanya hivi mtaani hapakukalika wala kupitika jinsi alivyowehuka mshkaji akaishia kukamatwa na kupelekwa polisi na faini akalipa,usijaribu asilani.
 
Last edited by a moderator:
Mpe ubuyu wa vimto kila siku....

Kwny chakula chake mjengee mazoea ya kumchanganyia na bange mbichi halafu kwny maji ya kunywa angalau kisikosekane angalau kiroba kimoja kila cku , hapo nakuhakikishia hata simba watakuwa wanamuogopa

Mchanganyie chakula na bangi atakua mkali

Dah...salaaale😱shauri za humu sometimes zinafrahisha sana,wakuu mna maana naweza m-train paka wangu akawa mlinzi mzuri nikilala hata mlango nisifunge...Hahahaha!
 
Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana. Sasa ni kwamba mbwa wangu sio mkali hata kidogo!

Sasa naombemi msaada Wa ushauri wenu ni mlishe nini ili awe mkali!! Naombeni ushauri wenu wadau maana ninampenda sana mbwa wangu!

Karibuni washika dau na poleni na majukumu ya kila Siku!!! Karibuni kwa jukwaaaa

Mpe gongo nusu glass. Baada ya hapo mpe bangi msokoto mzima. ukimaliza hilo zoezi mchape mikwaju miwili murua utakuja kunambia. Usisahau kurudi ili kutupa mrejesho.
 
Mpe Maji ya kunywa yaliyochanganywa na gongo utarudi kutuletea mrejesho hapa
 
Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana.

Kwa huduma nzuri kama hizo unadhani atatoa hasira wapi?sawa na mtu yeyote anufaikae na mfumo wa sasa wa serikali,hata serikali ifanye baya lipi hawezi fungua mdomo.
 
Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana. Sasa ni kwamba mbwa wangu sio mkali hata kidogo!

Sasa naombemi msaada Wa ushauri wenu ni mlishe nini ili awe mkali!! Naombeni ushauri wenu wadau maana ninampenda sana mbwa wangu!

Karibuni washika dau na poleni na majukumu ya kila Siku!!! Karibuni kwa jukwaaaa

Huyo mbwa umemdekeza mwenyewe, mpwa analala mpaka saa nne!, mbwa anakula milo mitatu, mbwa anazunguka nje tu, mbwa watoto wanamdandia mgongoni wanamfanya farasi, mbwa usiku anaingia kwenye "sehemu yake nzuri" kulala? Huyo mbwa au paka huyo, atakuwa mkali toka lini?
 
Back
Top Bottom