Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

mvutishe bangi.........

Seriously...

Mvutishe bangi...
Utafurahi mwenyewe
 
Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana. Sasa ni kwamba mbwa wangu sio mkali hata kidogo!

Sasa naombemi msaada Wa ushauri wenu ni mlishe nini ili awe mkali!! Naombeni ushauri wenu wadau maana ninampenda sana mbwa wangu!

Karibuni washika dau na poleni na majukumu ya kila Siku!!! Karibuni kwa jukwaaaa

Ana umri gani kama bado mdogo unauwezo wakumfanya awe mkali.

Kwanza hakikisha haonani na mtu zaidi ya mfugaji na ikiwezekana unamfungia Kuanzia Asubuhi hadi saa nne usiku,Na ikiwezekana unamfungulia maramoja kumwezesha kufanya mambo yake binafs! Na hakikisha chakula kama mkuu alivyo eleza hapojuu.

Unapomfungia mbwa kwa mda bila kuonana na watu inamfanya anakuwa mkali na kitu chochote akikiona huwa anaona kama adui.
Hata binadam akiwekwa rumande kwa mda amrefu akitoka huwa naroho ngumu sana kuua haoni ajabu.
 
Mpe jina la Simba au Chui.........utakuja kuniambia.........
 
Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana. Sasa ni kwamba mbwa wangu sio mkali hata kidogo!

Sasa naombemi msaada Wa ushauri wenu ni mlishe nini ili awe mkali!! Naombeni ushauri wenu wadau maana ninampenda sana mbwa wangu!

Karibuni washika dau na poleni na majukumu ya kila Siku!!! Karibuni kwa jukwaaaa

Ukitaka awe mkali mnumulie ugoro halaf mwekee puani
 
Kuna sehemu Mwenge niliona bango la mwalimu wa mbwa (dog trainer) inawezekana wao wanajua sababu za kitaalam zinazomfanya mbwa awe mkali au mpole kesho nikipita nitasoma namba yake nitaileta hapa. Ila moja ya basics ni kumtenga,asiwe ana mazoea na watu awe anafungiwa mapema alfajiri na kufunguliwa usiku si chini ya saa nne,niliwahi kuwa na mbwa nikiwa mdogo mbinu hii ilinisaidia japo matokeo hayakuwa mazuri kama nilivyotaka. Wengine waliniambia mbwa hatakiwi kula vyakula vilivyoungwa na vyenye chumvi, wengine ndo kama mkuu dabo wakadai niwape bange ila zote hizi hazina uhakika na ni kama imani tu (myth). Mbwa umpe bange akiwa kichaa akakudhuru wewe mwenyewe utasemaje?

Hivi umbwa inavutaje tena........?......niliona siku nyingi nimesahau..........
Preta hebu TUPE uzoefu wako kijana
 
Last edited by a moderator:
Hawa mixed breeds aka mbwa koko wa kawaida ni kupoteza muda. Tafuta breed anayefahamika kama pitbull. Sijui kama wapo Bongo. Huyu ni hatari. Anaweza kukurarua hata wewe mwenyewe ukapoteza viungo na kuumbuka mtaani kwenu.
 
Usimzoeshe kumfungua mchana labda kama unamuogesha...mpe chakula mara moja tu usiku ukimfungulia..mpe chakula ila at least mara moja nyama na mifupa kutest meno yasilemae na softfood....halaf ujaribu kuwa una msemesha matendo kama kukamata au kuacha kufanya kitu....zingatia itasaidia...ila inategemea na aina ya mbwa ulikomtoa...kama ile jamii flan inayoshinda sebulen kwa Wema Sepetu hawezi kuwa mkali hata ukimvutisha bange ndo atazidisha usingizi

Hata kama hujisikii kucheka, ukifika JF lazima ucheke
 
Kwny chakula chake mjengee mazoea ya kumchanganyia na bange mbichi halafu kwny maji ya kunywa angalau kisikosekane angalau kiroba kimoja kila cku , hapo nakuhakikishia hata simba watakuwa wanamuogopa

Mi nilishawahi kuwanywesha viloba haikusaidia maana siku walipokuwa wakinywa viloba walikuwa wakipiga usingizi sana na usiku unaisha bila kubweka
 
Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana. Sasa ni kwamba mbwa wangu sio mkali hata kidogo!

Sasa naombemi msaada Wa ushauri wenu ni mlishe nini ili awe mkali!! Naombeni ushauri wenu wadau maana ninampenda sana mbwa wangu!

Karibuni washika dau na poleni na majukumu ya kila Siku!!! Karibuni kwa jukwaaaa

Hakuna kitu unaweza kufanya, ukali wa Mbwa unategemea na aina ya mbwa, kama mbwa wako ni (aina) mpole basi hakuna jinsi ambavyo unaweza kumgeuza akawa anafukuza watu au kukulindia!
Hivyo usimtese bure kiumbe wa watu kama SIYO Mkali basi mrudishe ulikomtoa au mgawiwe mtu ambaye anaweza kukaa na mbwa mpole na tafute AINA ambayo ni ya UKALI! Ukimshindwa nitafute na nitamchukua lkn huwezi kumgeuza kuwa Mkali kama SIYO aina yake!
 
Back
Top Bottom