Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana. Sasa ni kwamba mbwa wangu sio mkali hata kidogo!

Sasa naombemi msaada Wa ushauri wenu ni mlishe nini ili awe mkali!! Naombeni ushauri wenu wadau maana ninampenda sana mbwa wangu!

Karibuni washika dau na poleni na majukumu ya kila Siku!!! Karibuni kwa jukwaaaa

Nitakalokuambia Hapa Naomba Usichukulie Kama Vile Mzaha Wangu Tu Bali Nakupa Jibu La Swali Ulilouliza. Huyo Mbwa Wako Pendelea Sana Kumpikia Ugali Kisha Unatafuta Dagaa Na Unakata Vichwa Vyao Unatupia au Unachanganyia Ktk Huo Ugali Kisha Unatafuta Bangi Nayo Unaichanganya Humo Humo Kwa Muda Wa Siku 7 Baada Ya Hapo Wewe Mwenyewe Na Familia Yako Nzima Jiandaeni Kuruka Ukuta Wakati Mnaingia au Mnatoka Hapo Kwenu Na Kama Mtakuwa Ndani Ya Mazingira Ya Kwenu Hamtakuwa Mbali Sana Na Wale Wafungwa Wa Ndani Na Kama Mkibahatika Kutoka Nje Basi Mtakuwa Hamna Budi Kuvaa Nguo Ngumu ( Kwa Tuliosoma Boarding Tunaziita Vigozi ) Ili Kulinda Sehemu Za Miili Yetu Na Matako ( Makalio ). Hapa Namaanisha Nini? Huyo Mbwa Wako Atafunga Mtaa Kwa Ukali Na Kutenda Matukio Na Utampenda Tu Na kusalimu Amri Kwa Kumpa Huo MSETO Wa Vichocheo Wa Ukali Wa Jibwa / Mbwa.
 
Tafuta mbwa wa ulinzi mkuu...kuna wadau wameshauri breed za mbwa tafuta hutakuja kulalamika humu!! tafuta germany shepherd au rottweiler hutojuta!!pitbull sio wazuri kwa familia

Akikosa Hao Wote Mwambie Akatafute TARIME Shepherd!
 
Usimzoeshe kumfungua mchana labda kama unamuogesha...mpe chakula mara moja tu usiku ukimfungulia..mpe chakula ila at least mara moja nyama na mifupa kutest meno yasilemae na softfood....halaf ujaribu kuwa una msemesha matendo kama kukamata au kuacha kufanya kitu....zingatia itasaidia...ila inategemea na aina ya mbwa ulikomtoa...kama ile jamii flan inayoshinda sebulen kwa Wema Sepetu hawezi kuwa mkali hata ukimvutisha bange ndo atazidisha usingizi

Kaka Hao Mbwa Unaowaongelea Hapa Ni Hawa Hawa Wa Kitaani Kwetu Huku USWAZINYO au? Manake Hawa Wakwetu kutwa Wanashinda Majalalani Kula Viporo Na Matambara Huku Wakizama Ktk Madimbwi Ya Nnya.
 
Mimi Nina mbwa ni anapata msosi Wa kueleweka sana na analala sehemu nzuri sana. Sasa ni kwamba mbwa wangu sio mkali hata kidogo!

Sasa naombemi msaada Wa ushauri wenu ni mlishe nini ili awe mkali!! Naombeni ushauri wenu wadau maana ninampenda sana mbwa wangu!

Karibuni washika dau na poleni na majukumu ya kila Siku!!! Karibuni kwa jukwaaaa

Tafuta picha kubwa ya Wassira umwekee mbele yake, utaleta majibu!!
 
Pale ubungo kna vetenary clinic. Nenda mchukue daktar aje amuone mbwa wako. Wao wanajua signs za kumkera na kumpoza mbwa hvo akija atamu assess mbwa wako. Atakwambia right ways ya kmfuga au kumfanya awe wa biashara. Hakuna mbwa mkali wala mpole dunian ndio mana hata mbwa wako awe mkali vp vetenary akija lazma mbwa akae maskio nyuma au akimbie.
 
mvutishe b@ngi, ila anaweza kuwa mkali hadi akapitiliza, hata wewe mwenye mbwa ukivaa nguo ambazo hakuzizoea anakuletea noma.
 
Kaka Hao Mbwa Unaowaongelea Hapa Ni Hawa Hawa Wa Kitaani Kwetu Huku USWAZINYO au? Manake Hawa Wakwetu kutwa Wanashinda Majalalani Kula Viporo Na Matambara Huku Wakizama Ktk Madimbwi Ya Nnya.

Naongelea sio hawa mbwa koko wa mtaani.,wale mbwa ambaye anatunzwa hata kikwapa hatoi...
 
mimi mbwa wangu nilikuwa nampulizia moshi wa bangi kwa kweli alikuwa mkali ilifika kipindi hata akinya mavi yake anayabwekea.
 
Nipo ndg yangu mitihani ilinibana sana nashukuru nimemaliza ndg yangu. Najua mengi yamenipita JF, jungu kuu lisilokosa ukoko

Hongera Mkuu Kwa Kumaliza Na Hongera Zako Pia. Ila Na Mimi Naomba Mno Dua Zako Kwani Tumeshaanza Masuala Ya Dissertations Na Ule Muda Wa Kuchafuliwa Karatasi Na Supervisors Umekaribia Na Kama Mambo Yakienda Safi Basi Nitakualika Pale Ukumbi Wa Lavoie ( Lavwaa ) SAUT Mwanza November 2015 Uje Unipe Mkono Wa Pongezi. Humu Ndiyo Tunapotoa Stress Za Wahadhiri Wanoko. Karibu Mkuu! Huyo Wa Ktk Avatar Hapo Tafadhali Usimbadilishe Na Ukimtoa Tu Urafiki Mimi Na Wewe Bye Bye.
 
Usijali mkuu, nitajitahidi sana nije ndg yangu. Hakuna muda mgumu kwa mwanafunzi kama wa Dissertation. ni muda ambao usipokuwa ngangari kwa wanafunzi wa kike hujirahisisha kwa lecturers wakware. Nakupa moyo jitahidi hakuna kisichowezekana. Mimi nimemaliza Master of Science in Tropical Diseases Control (MSc.TDC), hapo MUHAS. Nenda ktk fb tafuta Aman Shamsengi utaziona picha za graduation yangu
 
Sasa mbwa ambaye hazoei watu si atashambulia hata wanafamilia sasa huyo wa nini?!
 
Mlishe chakula kilicochanganywa na nyigu ama dondola bila kusahau nyuki kwa wiki moja. Na kuhakikishia ukikaa vibaya anaweza akawa mkali hata kwako.
 
Back
Top Bottom