Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

Nifanyaje ili mbwa wangu awe mkali!? Naomba ushauri

Tafuta picha kubwa ya Wassira umwekee mbele yake, utaleta majibu!!

Hivi mkuu kweli umekosa cha kukoment kweli? Think big hii sio moral attribute ya utimamu wa ubongo....kwan alijiumba? Hujafa hujaumbika kumbuka hilo
 
Mkuu huu hapa ushauri ambao babu alikuwa anafanya; CHUKUA BOMBA LA KALAMU maarufu bic,muite mbwa wako na ushike mdomo wake chini ya taya huku ukiwa umeweka unga wa bangi ndani ya bomba,weka sehemu ya mbele ya bomba katika pua za mbwa halafu puliza kwa nguvu! mbwa atapiga chafya na kutikisa kichwa kuonyesha bangi imempata vzr. Halafu kama uko maeneo ya bush tafuta masega yale yenye funza wa nyuki mchanganyie kwenye chakula. Mwisho kabisa kama wewe ni muwindaji penda kuwa unamchomea nyama aliyouwa mwenyewe (si nyama za bucha) na kuziwekea chumvi kila anapoua mnyama. Ukifanya hivi atakuwa anaua na kumleta mnyama hadi nyumbani akidhani utamchomea nyama. Tahadhari;mara nyingi hawa mbwa waliovutishwa bangi huuwawa na nyoka hasa koboko kwani huwa hawaogopi chochote. ONYO; Bangi si kitu cha kuzoea na ni moja ya madawa ya kulevya.
 
Umeeleza vizuriii kabsa ..
 
Mbwa ni kama binadamu tu, kama tabia yake ni upole hata kama utamchoma kidole machoni atakunja mkia na kuondoka kwa sababu asili yake ni upole, kwa mfano hivi ukimchukua @LEPROFESER ukamvutisha bangi unahisi anaeza kuwa mkali? Ama ndo atazidi kucheka tu? Upole unawenyewe bhana, kama ameshindwa kuwa mkali basi mfanye awe rafiki yako, angalau awe anakusindikiza kwenye misele yako, sema ukikutana na panya road mbwa ndo atarudi nyuma akiamini wewe ndo msaada wake.
 
Usijali mkuu, nitajitahidi sana nije ndg yangu. Hakuna muda mgumu kwa mwanafunzi kama wa Dissertation. ni muda ambao usipokuwa ngangari kwa wanafunzi wa kike hujirahisisha kwa lecturers wakware. Nakupa moyo jitahidi hakuna kisichowezekana. Mimi nimemaliza Master of Science in Tropical Diseases Control (MSc.TDC), hapo MUHAS. Nenda ktk fb tafuta Aman Shamsengi utaziona picha za graduation yangu

Mimea Itakukoma Mkuu! Hongera Sana Na Sana Nami Nakaribia Kumaliza MA Yangu Ya Mass Communication Ktk Chuo Chetu Cha SAUT ILA Starring Auwawi Lakini Cha Moto Nduguyo Nakiona Mkuu Kwani Mambo Ni Mengi Na Wahadhiri Wetu Hawana Masihara Japo Nawasifu Na Nawapongeza Kwa Kazi Zao Za Kutupa Madini Ya Kichwani. Niombee Sana Mkuu!
 
Big up sana, nakuombea ufanikiwe ndg yangu. Kaza buti, upo mwishoni japo pagumu kidogo ila hiyo haijalishi, lazima gamba lipatikane na joho livaliwe.
 
Big up sana, nakuombea ufanikiwe ndg yangu. Kaza buti, upo mwishoni japo pagumu kidogo ila hiyo haijalishi, lazima gamba lipatikane na joho livaliwe.

Haswa Na Akhsante Mkuu Mwenyezi Mungu Ni Mkubwa Na Atanifanikishia Hilo Inshalaah / Amen.
 
Kwanini unataka awe mkali na aside rafiki?ukali in hulka ya msongo Wa mawazo ndo maana MTU mkali apendwi,mbwa wako yuko friendly we hutaki,kwanini Wewe usiwe mkali badala yake na uone ka atahangaika kwa mbwa wenzake kuomba ushauri kuwa kwanini mmiliki wake no mkali kupitiliza,mkuu ka swala la ulinzi weka Masai,
 
Kwny chakula chake mjengee mazoea ya kumchanganyia na bange mbichi halafu kwny maji ya kunywa angalau kisikosekane angalau kiroba kimoja kila cku , hapo nakuhakikishia hata simba watakuwa wanamuogopa
Hizo bangi zinapatikana wapi mkuu
 
Wakuu mbona mnataja Bangi kama tembele unaenda kununua tuu gengeni kwa Mama asha Kibajaji?
Unapotaja Bangi unazungumzia madawa ya kulevya ujue?
 
Toka mbwa wangu nimchanganyie bangi mbichi kwenye nyama na nimefurahia matokeo

Kuna mda nachoma mjani namfungia kwenye kibanda na moshi wake ukiwa mwingi basi ana bwekaa huyo halafu simpi chakula siku hiyo
 
Back
Top Bottom