Nifanyaje ili kumpata huyu demu

Nifanyaje ili kumpata huyu demu

Unaugua mapenzi mdogo wangu pole sana...ukikua utaacha
 
Ni Mapepo Koz Kama Ivyo Chapa Lapa. Unakuta Mtu Anaanza Kukutafuta Na Kukuonyesha Dalili Zile Zile. Ukiweka Maneno Anakataa.
Si anakuweka reserve, just in case[emoji12]
Ndomaana Mie Sitakagi Kuwa Mkarimu Ovyo Ovyo Kwa Mademu. Unakuta Anakuchukulia Poa. Ukitaka Kumpenya Anaanza Ohhh Just A Friend. My Friend Is Between Your Legs!!!
 
Kutongoza demu mwaka mzima hakujawah muacha mtu salama
 
kazana na shule kwanza life liko tight Mkuu. hayo mambo utayafanya sana mbeleni huko
 
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Una umri gani?? Mwaka mzima unatongoza, huna shughuli nyingine za kufanya?
 
concentrate na shule au chochote unachofanya uone kama hatakuja mbio mbio.
 
Back
Top Bottom