Wewe mwenyewe mwezi wa 8 huu tunazungushana humu JF.Kuna wimbo flani hivi umenitoka kidogo,japo nakumbuka baadhi ya maneno: ......sijui nini na nini ".... KAMA HAKUTAKI YANINI KUMBEMBELEZA...."
Anayeufahamu anikumbushe tafadhali.
Mjomba punguza kulalamika mjomba....Wewe mwenyewe mwezi wa 8 huu tunazungushana humu JF.
Ila nimemwachia Mungu.
Hahaaa tatizo lako ni moja tu....hutaki ninywe safari.Wewe mwenyewe mwezi wa 8 huu tunazungushana humu JF.
Ila nimemwachia Mungu.
Mpwa kumbe ulikuwepo hapa karibu. Haha raha ya penzi kunyenyekea.Mjomba punguza kulalamika mjomba....
missing you my uncle
Kilichobaki wewe acha nikuombee uzima uendelee kuwq mzuri unirushe roho tu.Hahaaa tatizo lako ni moja tu....hutaki ninywe safari.
Uncle acha tu. Niko nasaka pesa uncle. Nipo nipo kimtindo,lakini sijatulia. Hata jf naingia kwa kunyapia nyapia (in maserati voice)Mpwa kumbe ulikuwepo hapa karibu. Haha raha ya penzi kunyenyekea.
Miss you too mpwa. Kila siku namuuliza maserati umeenda wapi
Zitafute kisawasawa mpwa, vijana wenyewe wakuwahonga siku hizi wamekwisha piganeni maana hakuna namnaUncle acha tu. Niko nasaka pesa uncle. Nipo nipo kimtindo,lakini sijatulia. Hata jf naingia kwa kunyapia nyapia (in maserati voice)
Hayo maneno ungeyasema nikiwa napata moja moto moja baridi kwa bili yako,ningekuelewa zaidi...ila tatizo lako wewe una maneno mengi mazuri,lakini vitendo hauna!Kilichobaki wewe acha nikuombee uzima uendelee kuwq mzuri unirushe roho tu.
Nikuruhusu safari mara ngapi mimi wewe kunywa hata Journey ila acha kamoyo kanisukume.
Maneno yako yamenichoma saana.Hayo maneno ungeyasema nikiwa napata moja moto moja baridi kwa bili yako,ningekuelewa zaidi...ila tatizo lako wewe una maneno mengi mazuri,lakini vitendo hauna!
Mwaka mzima??? Atakuwa kuna Boya anampooza mmhh ..Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Hayo ndo maneno....nangoja vitendo hiyo kesho! Lala unono mwaya!Maneno yako yamenichoma saana.
Lakini tusiisiishie hapa maana utaniachia kovu lisilofutika moyoni. Nikutakie usiku mwema kesho tuianze weekend utakapotaka.
Sawa Sawa mjomba...Zitafute kisawasawa mpwa, vijana wenyewe wakuwahonga siku hizi wamekwisha piganeni maana hakuna namna
Usimtongoze muite ghetto/Room/ guest moja kwa mojaJamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.