Nifanyaje ili kumpata huyu demu

Nifanyaje ili kumpata huyu demu

Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Mkuu sio ww tu, hata mm hapa kitaani kwetu kuna dame fulani, so namwelewa kinouma na hata yy inaonesha kanielewa maana kila akiniona ananiangalia kwa jicho la mahaba na kuonesha kuwa amizimika kwangu.
Ila nimejaribu kutema cheche za kufa mtu then dogo anaishia kucheka tu na kuniambia jibu atanipa kesho
 
Huna mbinu dogo ...ukiwa na mbinu ht kutungoza utakuwa mvivu mnk watakua wanakuja wenyewe...
 
Mkuu sio ww tu, hata mm hapa kitaani kwetu kuna dame fulani, so namwelewa kinouma na hata yy inaonesha kanielewa maana kila akiniona ananiangalia kwa jicho la mahaba na kuonesha kuwa amizimika kwangu.
Ila nimejaribu kutema cheche za kufa mtu then dogo anaishia kucheka tu na kuniambia jibu atanipa kesho
Me ndo nashindwa kuelewa kabxa
 
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Vigezo
Vigezo
Vigezo
Vigezo
 
Sio mapepo ila haujatimiza vigezo vya kuwa mpenzi wake.
Ni Mapepo Koz Kama Ivyo Chapa Lapa. Unakuta Mtu Anaanza Kukutafuta Na Kukuonyesha Dalili Zile Zile. Ukiweka Maneno Anakataa.
 
Sio mapepo ila haujatimiza vigezo vya kuwa mpenzi wake.
Ndomaana Mie Sitakagi Kuwa Mkarimu Ovyo Ovyo Kwa Mademu. Unakuta Anakuchukulia Poa. Ukitaka Kumpenya Anaanza Ohhh Just A Friend. My Friend Is Between Your Legs!!!
 
Back
Top Bottom