Nashindwa kumpata, nampenda sana. Nifanyaje ili anielewe??

AndreRieu

Member
Oct 23, 2023
77
84
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko nasoma nae hapa chuo X,, ni binti tu mrembo, mweusi (weusi ndio naaminia) na ni very smart. Huyu binti wiki iliyopita nilimfuata na nikamweleza hisia zangu kwake akadai kwamba tutaongea, nikajipa moyo kwamba huenda binti atanikubali uwakika. Wakuu nimekuja kukutana na binti siku chache zilizopita but kwanza anadai kwamba eti ni aliwahigi kuumizwa,,, means hataki kujihusisha na mapenzi tena,, anadai kwamba hakuna mtu mwenye anachukia kama wanaume,, binti huyu anadai kuchukia wanaume mbele yangu wakuu Na mimi ndio nampenda hatari,, Kwake anaona mapenzi ni kama kitu flani hivi cha ajabu hataki hata kusikia.
Nifanyaje kumpata wakuu??
NB: Nampenda sana
Nawasilisha,
 
Dogo soma,achana na mapenzi kwa sasa.
Fuata kilichokupeleka hapo chuo,wazazi wakp wanaingia gharama kubwa sana kukusomesha,
usipoteze muda wako utakuja kujuta,achana na huyo binti,

Kama atabadili mtazamo wake basi yeye ndiye atakayekuja kukutafuta ila usiwekeze sana akili yako kwenye mapenzi,

Narudia tena,Kijana soma.
 
Dogo soma,achana na mapenzi kwa sasa.
Fuata kilichokupeleka hapo chuo,wazazi wakp wanaingia gharama kubwa sana kukusomesha,
usipoteze muda wako utakuja kujuta,achana na huyo binti,

Kama atabadili mtazamo wake basi yeye ndiye atakayekuja kukutafuta ila usiwekeze sana akili yako kwenye mapenzi,

Narudia tena,Kijana soma.
Mkuu sijui hata nimeingiwa na nini, nampenda huyu binti sielewi But nitajaribu kiongoz
 
Sema ni vile moyo ni wako ila ungekuwa wangu ningeachana nae na kutafuta mwingine au unataka uruke kwenye ghorofa kama yule wa udom
Pls don't beg for a virgina find another girl and move on.
Unapozidi kumbembeleza ndio unazidi kumpoteza
Dah!! sawasawa mkuu,
 
Back
Top Bottom