Nifanyaje ili kumpata huyu demu

Nifanyaje ili kumpata huyu demu

tongoza demu mwingine halaf nenda kamtambulishe kwake mwenyewe atakukubali au ukiwa nae jifanye unamsifia mwanamke wako yeyote
Umesahau kumwambia atongoze demu mkali kumshinda yeye..
 
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Mfate hadi kwao ukaongee na baba yke au kwa lugha nyepesi peleka barua
 
Unataka imfanyie nini wakati huna hela??
Unampendea nini hasa?
Uliwahi kufanya tendo la ndoa??
Naona hayo ni maji marefu kwako
 
Achana nae huwezi jua mungu anakuepushia mini, au huna helaaa
 
Bado mdogo sn unawaza ngono...kijana wa form 6 anaomba ushauri wa mapenzi jf nlidhani utakuja kuuliza maisha ya chuo yakoje ujipange
 
Jamani wana JF nambeni msaada wakimawazo kuna msichana nimetokea kumpenda sana na yeye anaonesha dalili zote zakunipenda chakushangaza nikimtogoza anakataa nimejaribu zaid ya mwaka 1 sasa nifenyeje,naombeni ushauri wenu jamani.
Jambo dogo sana hilo kama anaonesha dalili zote za kukupenda fanya kitu kimoja kama you have its phone number call her,umwambie unamuomba mtoke out kidogo akikuuliza wap mwambie wew ungependelea wap but akikurushia mpira kuwa useme wew mtajie eneo ulilokuwa unaona mkikaa wew na yeye linawafaaa so ukimkosa hapo kaoge dawa maana ujue hujui kumshawishi ni hayo tu
 
Ushauriwa wako ntaufanyia kazi
 
Bado mdogo sn unawaza ngono...kijana wa form 6 anaomba ushauri wa mapenzi jf nlidhani utakuja kuuliza maisha ya chuo yakoje ujipange
school sio kigezo but kama nimempenda demu kwann nisiseme ya moyoni
 
Back
Top Bottom