NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

Sema kwakuwa mwamba ajui kingereza ndio unamtesa hivyo?

Hivi wewe mtanzania kweli?

Nitarudi....
Kwani amekuambia hajui? mkuu acha kuhukumu mtu anaweza akawa ni mualimu wa shahada ana fundisha advance level.
 
Kwani amekuambia hajui? mkuu acha kuhukumu mtu anaweza akawa ni mualimu wa shahada ana fundisha advance level.
Wewe ni mjinga neno elimu linakutisha sana sasa wacha nikupe akili kidogo ....ya watu wenye akili kubwa kama yangu

Ukiambiwa uchague kati ya pesa na elimu chagua pesa tena bila ya kupepesa macho ila kati ya pesa na akili chagua "AKILI"

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Sema kwakuwa mwamba ajui kingereza ndio unamtesa hivyo?

Hivi wewe mtanzania kweli?

Nitarudi....
Huyo akili hana kwanza ajui kuwa kwa teknolojia ilipo ninaweza kuandika kwa lugha yoyote kwa kutumia simu na kupost ila mimi siyo limbukeni

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.

Raia wazawa waliojiandilisha 2018 wana namba pekee hadi sasa na kadi wanapigwa danadana hazija printiwa.

Cha kushangaza wageni wote wawe wanapewa vitambulisho vya ukaazi au vya uraia vya magumashi au vya halali ila wote wana vitambulisho na sio number.

Wahindi wote wana vitambulisho na sio number, wahamiaji haramu wana vitambulisho vya uraia na sio number.

Kuna raia mmoja ni Mkenya sijui alifanya fanya vipi akajiandilisha NIDA wanajua utaratibu wao wanao tumia kuwapa watu wasio raia Vitambulisho vya Uraia,Sasa huyo Raia amejiandikisha mwezi wa 6 mwaka huu,na tiyali ana kadi ya kitambulisho.ELewa kwamba kajiandikisha mwaka huu mwezi wa 6 ila NIDA wameisha mpatia kitambulisho.

Raia wanasafa tangia mwaka 2018 kadi zao hazijawahi printiwa.ila kuna watu wao wanakuja nyuma tena kagumashi na wanapewa kadi.

Sasa je raia wote na wao wanyoeshe mkono kwa stafu wa NIDA ili wapate kadi?

Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
NIDA nia yao ni hela wala siyo uraia.
 
Yaani jambo linalohusu NIDA linasikitisha sana. Kuna kijana nilikutana nae sehemu kanyeshewa na mvua, nikamuuliza tatizo Nini? Ulikosa mahali pakujibanza ili mvua iishe? Akasema kaka ninafatilia kupata namba na kitambulisho Cha NIDA maana nimefanya interview na nimepita ila kwenye kunihakiki ili niingie kwenye mfumo Natakiwa niwe na namba ya NIDA na kitambulisho ikibidi ila Kwa Sasa wanataka namba ya NIDA.

Nikamwambia umefatilia akasema alijiandikisha muda mrefu lakini wanamzungusha sana. Na kijana anatoka familia ya Hali ya chini kiuchumi, hivyo inamlazimu atoke kijijini kilasiki kufatilia.

Wazo langu suala la NIDA kwakuwa Lina udhaifu mwingi, hivyo NIDA isitumike kama kitambulisho rasmi mpaka pale itakaporekebishwa kiutendaji.
 
Kubwa kuliko zote la NIDA ni hili la mtu mmoja kuwa na vitambulisho viwili ama vitatu.
Nina rafiki yangu ana namba nne za simu ambazo zote zimesajiliwa.
Maajabu ni kama ifuatavyo;
Namba ya 1 majina ni G.B.A
Namba ya 2 majina ni G.B.H
Namba ya 3 majina ni G.B.M
Namba ya 4 majina ni N.B.A

Hii inawezekanajee!!??
Duuu! Hii Kali aseee!
 
Kua mtanzania sio kigezo au haitoshi kukupa kila kitu bila kusota, tuko kwenye capitalism ambapo pesa ni muhimu kuliko utu au uzalendo, ujimaa ilisha kufa na Nyerere kitambo.........

Eewe endelea kuimba nyimbo za kale utakufa masikini na uzalendo wako wa kijinga, tafuta pesa ukanunue huduma muhimu ili uendelee kuishi vizuri, au wa Kenya wa hindi wa China wana haki nchini humu kuliko wewe kwasbb wana pesa zao na biashara zao zinalipishwa kodi serikali haiwezi kuwafuatilia sana kama unapo fikieia.
Stupid nonsense!.
 
Nenda kigoma utashangaa warundi na wanyarwanda wanavyo miliki vitambulisho vyote vya tozonia, na wanajeuri upuuzi pembeni, alafu anatokea mtu huko anakuambia eti tozonia kuna idara ya intelejensia na wanashindwa kung'amua na kuzuia rushwa na uozo unaendelea nida matokeo yake ni kutawaliwa na wageni, hii nida na yenyewe wampe "Dipii Weldi" kwa sababu wameshindwa kuiendesha
 
Stupid nonsense!.
Mkuu acha jaziba huo ndo ukweli, wewe nenda uhamiaji utafute passport pesa kama utaipata ndani ya mwezi moja, au neenda makamani umshitaki DP world uone wewe na DP world nani atashinda kesi au kusikilizwa haraka huo ndo ukweli, hapa kwetu mzungu anasaidiwa haraka kuliko makonde wote wakiwa na shida ile ile.
 
Kawaida tunajijua wenyeji kufuatilia ni ngumu. Vitambulisho vimejaa kwenye maofisi ya kata watu hawachukui. Wageni wanajua umuhimu wanatafuta fasta mtabaki lalamikia nida ila ujinga umetujaa wazawa.
Ofisi zipi? maana hizi za kwetu vitambulisho hamna nimefuatilia kote kuanzia ofisi ya kata, nida wilaya hadi makao makuu. Nimekuwa nikihitaji kadi ya nida bila mafanikio wanasema hakijatoka na kitakapo kuwa tayari nitapata sms. Nimejisajili 2017 hadi 2023 tunaitafuta 2024 hamna kitu zaidi ya namba tu.
 
NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.

Raia wazawa waliojiandilisha 2018 wana namba pekee hadi sasa na kadi wanapigwa danadana hazija printiwa.

Cha kushangaza wageni wote wawe wanapewa vitambulisho vya ukaazi au vya uraia vya magumashi au vya halali ila wote wana vitambulisho na sio number.

Wahindi wote wana vitambulisho na sio number, wahamiaji haramu wana vitambulisho vya uraia na sio number.

Kuna raia mmoja ni Mkenya sijui alifanya fanya vipi akajiandilisha NIDA wanajua utaratibu wao wanao tumia kuwapa watu wasio raia Vitambulisho vya Uraia,Sasa huyo Raia amejiandikisha mwezi wa 6 mwaka huu,na tiyali ana kadi ya kitambulisho.ELewa kwamba kajiandikisha mwaka huu mwezi wa 6 ila NIDA wameisha mpatia kitambulisho.

Raia wanasafa tangia mwaka 2018 kadi zao hazijawahi printiwa.ila kuna watu wao wanakuja nyuma tena kagumashi na wanapewa kadi.

Sasa je raia wote na wao wanyoeshe mkono kwa stafu wa NIDA ili wapate kadi?

Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
Nida niwapuuzi tu, mm mwenyewe nilijiandikisha 2018 lakn mpaka sasa nina namba tu m@m@eeee
 
Naogopa kucomment, lakini pale NIDA kuna illegal business inafanywa in short vitambulisho vinachapishwa lakini watu wanalipa pesa baadhi 80k, 100k hadi 150k.
Kwa nini hizi kadi wasingeweka utaratibu rasmi kwa wananchi wa kulipia kama vyeti vya kuzaliwa tu ili kuondosha matumaini hewa ya kupata bure. Kipindi cha nyuma waliweka online copy baadae wakaondosha hiyo huduma why?
 
Ofisi zipi? maana hizi za kwetu vitambulisho hamna nimefuatilia kote kuanzia ofisi ya kata, nida wilaya hadi makao makuu. Nimekuwa nikihitaji kadi ya nida bila mafanikio wanasema hakijatoka na kitakapo kuwa tayari nitapata sms. Nimejisajili 2017 hadi 2023 tunaitafuta 2024 hamna kitu zaidi ya namba tu.
Mfano ofisi za watendaji wak kata ukienda yapo mavitambulisho kibao. Huenda ww unalalamika kusubiri sms na kimeahafika kwenye mtaa wako. Kawaida ni baada ya miezi 6 tutawalaumu tu nida ila wananchi wana changamoto
 
Ndio huko nimekwenda kote au hujasoma nilichoandika! Nikirudi nida wananiambia kitambulisho hakijatoka na nimekwenda ofisi kadhaa za nida mikoa tofauti wameniangalizia kwenye system wananiambia hakijatoka bado. Kumbe hata kufuatilia ni kulalamika pia!
 
Mikoa kama Arusha, Mwanza na Dsm maana wamenielekeza ofisi yoyote ya nida naweza kufuatilia kujua kitambulisho kimefikia wapi. Kutokana na shughuli zangu ambazo sio za kutulia sehemu moja ndio nalazimika kufuatilia ofisi yoyote ya nida kwa kuzingatia maelekezo yao. Napo ni kulalamika?
 
Back
Top Bottom