KINAMBUA MDONKOLO
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,155
- 1,653
Sehemu muhimu kama NIDA inapigwa za uso una dhani Dipii weldi wanashindwa kula keki ya nchi hii 


Utaratibu mzima ni mbovu selikali imekosea hatua zote za vitambulisho kulitakiwa kuwe na vitambulisho vya aina 2 vya uraia na vya wageni haramu wanao ishi nchini wao wapewe pia maana ni bora kuwa tambua kwanza na kuwapa utambulisho kuliko kuwaacha waishi kinyume na kuwatambua au kusababisha huu upumbavu wa hao wageni wanao fanya sasa wa kutumia njia yoyote wakishirikiana na nida kupata vitambulisho vya uraia ....Kwanza elewa kwa mgeni kuwa na kitambulisho sio kosa, sharti ajiandikishe kama mgeni
Aisee.. Miaka sita sasa tangu nijiandikishe NIDA kitambulisho hakuna mpaka leo na nipo Dar... Hiyo wilaya ni ipi na mimi nije mkuu?Tukiongea kuhusu intelligence ya nchi tunaonekana siyo wazalendo NIDA ni sehemu sensitive lakini cha kushangaza ukiwa na laki4 au 5 kesho yake unaletewa kitambulisho chako mpaka nyumbani yani ata foleni ukai kuna wasomali na wakenya kibao wamekuja juzi tu sasa ivi wao na familia zao wanavitambulisho OG vya NIDA ..mwenzangu na mie utaambulia namba tu tena ni ya kusubiri baada ya wiki 2 ..
Kuna Wilaya Moja apa dar mkijiorganize watu kumi mkitoa 15k kila mmoja yani ile kufika Home jioni tayari upo kwenye system namba yako ya NIDA tayari..TISS wapo kazi yao sijui ni nini kama NIDA inachezewa ivyo vipi uko sehemu nyingine.
Sekta ya Uchawa tupo vizuriHivi Tanzania kuna sector ambayo iko sawa kiutendaji?
Na tunaambiwa huko NIDA wamejaa TITHWanyarwanda kibao wanakuja kuchukua NIDA Kisha wanasepa kwao.



Alafu huwa wanajifanya wakali balaa..ila ndio hivyo Mama yenu kashashindwa tena...sema hili swala Hadi meko lilimshinda...NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.
aka huu mwezi wa 6 ila NIDA wameisha mpatia kitambulisho.
Raia wanasafa tangia mwaka 2018 kadi zao hazijawahi printiwa.ila kuna watu wao wanakuja nyuma tena kagumashi na wanapewa kadi.
Sasa je raia wote na wao wanyoeshe mkono kwa stafu wa NIDA ili wapate kadi?
Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
Aswaa nchi ya kitu kidogo mkono mtupu haulambwi.Penye uzia hao wageni wamepenyeza RUPIA
Mkuu kwa mawazo haya yako nina wakika ulimaliza tu darasa la saba ndo ukaingia mtaani kutafuta maisha, huwezi ukawa una degree au diploma ya chuo.Utaratibu mzima ni mbovu selikali imekosea hatua zote za vitambulisho kulitakiwa kuwe na vitambulisho vya aina 2 vya uraia na vya wageni haramu wanao ishi nchini wao wapewe pia maana ni bora kuwa tambua kwanza na kuwapa utambulisho kuliko kuwaacha waishi kinyume na kuwatambua au kusababisha huu upumbavu wa hao wageni wanao fanya sasa wa kutumia njia yoyote wakishirikiana na nida kupata vitambulisho vya uraia ....hivyo vitambulisho vya wasio raia vingekuwa vinalipiwa sh50000 na kila miezi 6 sh 40000 ....hapa dar es salaam tu kuna wageni haramu zaidi ya laki 3 na kwa nchi nzima wanaweza kufika milioni 1 ...huu utaratibu ungefanyika kwa kipindi kifupi kwa hawa wageni haramu tulio nao sasa tu baada ya hapo tungetumia taratibu za zamani ili kuzuia kuwa lazimisha wageni haramu kutafuta vitambulisho vya utaifa kwa njia haramu kama ilivyo sasa, ivyo wangekuwa na vitambulisho visivyo vya uraia vinavyo wawezesha kuvitumia kwenye mambo mbal8 mbali kama mabenk afya kusafiri ,usajili wa simu nk
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
ipo ile ya kula kwa urefu wa kamba yako.Hivi Tanzania kuna sector ambayo iko sawa kiutendaji?
Kwa nini wapo watu walisema kama wewe wakakimbia hoja ....toa hoja nikujibu ..pia elimu siyo akili unaweza kuwa na elimu ila ukawa na akili mbovu ...kumbuka kitabu kina elimu ila hakina akiliMkuu kwa mawazo haya yako nina wakika ulimaliza tu darasa la saba ndo ukaingia mtaani kutafuta maisha, huwezi ukawa una degree au diploma ya chuo.
Andika kwa kiingereza japo sentensi mbili tu, hapo ntaamini kwamba utaweza kujibu hojaKwa nini wapo watu walisema kama wewe wakakimbia hoja ....toa hoja nikujibu
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Kawaida tunajijua wenyeji kufuatilia ni ngumu. Vitambulisho vimejaa kwenye maofisi ya kata watu hawachukui. Wageni wanajua umuhimu wanatafuta fasta mtabaki lalamikia nida ila ujinga umetujaa wazawa.NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu.
Raia wazawa waliojiandilisha 2018 wana namba pekee hadi sasa na kadi wanapigwa danadana hazija printiwa.
Cha kushangaza wageni wote wawe wanapewa vitambulisho vya ukaazi au vya uraia vya magumashi au vya halali ila wote wana vitambulisho na sio number.
Wahindi wote wana vitambulisho na sio number, wahamiaji haramu wana vitambulisho vya uraia na sio number.
Kuna raia mmoja ni Mkenya sijui alifanya fanya vipi akajiandilisha NIDA wanajua utaratibu wao wanao tumia kuwapa watu wasio raia Vitambulisho vya Uraia,Sasa huyo Raia amejiandikisha mwezi wa 6 mwaka huu,na tiyali ana kadi ya kitambulisho.ELewa kwamba kajiandikisha mwaka huu mwezi wa 6 ila NIDA wameisha mpatia kitambulisho.
Raia wanasafa tangia mwaka 2018 kadi zao hazijawahi printiwa.ila kuna watu wao wanakuja nyuma tena kagumashi na wanapewa kadi.
Sasa je raia wote na wao wanyoeshe mkono kwa stafu wa NIDA ili wapate kadi?
Taasisi imejaaa hadaaa sana ila cha ajabu inasifiwa na watawala nashindwa kukua wanasifiwa kwa lipi hasa.
Wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana ndiyo maana una shindwa kutofautisha akili na elimu.nadhani ujui tofauti ya akili na elimu ....kumbuka kitabu kina elimu ila hakina akili ... wasomi ni kama kitabu tu usitishwe na mtu kuitwa professor nkAndika kwa kiingereza japo sentensi mbili tu, hapo ntaamini kwamba utaweza kujibu hoja
Sawa hayo yote niliyategemea wewe ni andikie tu hoja yako fupi kwa lugha ya kiingereza ndo nijue uwezo wako wakujenga hoja mengine nisamehe tu.......Wewe uwezo wako wa akili ni mdogo sana ndiyo maana unabbabahishwa na wasomi ..nadhani ujui tofauti ya akili na elimu ....kumbuka kitabu kina elimu ila hakina akili ... wasomi ni kama kitabu tu usitishwe na mtu kuitwa professor nk
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Mimi ninajua kirusi au kirusi akiwezi kubeba elimuSawa hayo yote niliyategemea wewe ni andikie tu hoja yako fupi kwa lugha ya kiingereza ndo nijue uwezo wako wakujenga hoja mengine nisamehe tu.......


kwa kifupi wewe ni mpumbavu sana .. watu kama nyinyi ndiyo ccm inawapenda ...maana ccm inatafuta wapumbavu sampuli yako muwe chawaSema kwakuwa mwamba ajui kingereza ndio unamtesa hivyo?Sawa hayo yote niliyategemea wewe ni andikie tu hoja yako fupi kwa lugha ya kiingereza ndo nijue uwezo wako wakujenga hoja mengine nisamehe tu.......
Mmh nilijua uta tukana tu. Aya buana bro yaishe, tupige stori zingine mambo ya kiingereza tuachane nao nilikua na tania tu.Mimi ninajua kirusi au kirusi akiwezi kubeba elimukwa kifupi wewe ni mpumbavu sana .. watu kama nyinyi ndiyo ccm inawapenda ...maana ccm inatafuta wapumbavu sampuli yako muwe chawa
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
toa hoja wapi nimekosea kuhusu nida nikufafanulie nilikuwa nalenga nini na kwa logic ganiMmh nilijua uta tukana tu. Aya buana bro yaishe, tupige stori zingine mambo ya kiingereza tuachane nao nilikua na tania tu.