nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,905 Feb 12, 2012 #2 Ndio zake kushikwa shikwa kitambi halafu anamwaga mshiko maana hata akipewa kitumbua hawezi kukila na mtumbo wote ule
Ndio zake kushikwa shikwa kitambi halafu anamwaga mshiko maana hata akipewa kitumbua hawezi kukila na mtumbo wote ule
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Feb 12, 2012 #3 Amependedha
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,274 Reaction score 13,296 Feb 12, 2012 #4 Viwavi wachumia matumbo,siwapendi kabisa hawa watu.
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Feb 12, 2012 #5 duh jamaa km gunia
misnomer JF-Expert Member Joined Apr 13, 2011 Posts 203 Reaction score 69 Feb 12, 2012 #6 Mwenye mwanya ana mvuto
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 305 Reaction score 48 Feb 12, 2012 #7 Nakuona umetokelezea mzee mzima totoz kwa pembeni wakati ni wako huu fanya kweli Komba!
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,382 Feb 12, 2012 #8 View attachment 47210 Dokii,Mpoki,Vicky Kamata,Hafsa Kazinja
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Feb 13, 2012 #9 Kweli hela nouma maana kama siyo hela kipipa kama hiki sidhani kama kingepata vibinti kama hivi vyakukichezea hicho kitambi kama hivyo
Kweli hela nouma maana kama siyo hela kipipa kama hiki sidhani kama kingepata vibinti kama hivi vyakukichezea hicho kitambi kama hivyo
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Feb 13, 2012 #10 mzee wa sungu chini!
Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 356 Feb 13, 2012 #12 Kila Doki anapo simama au kuimba jukwaani mkao wake na anavyo simama vinanipa mashaka sana...kama anabana kitu nyuma....washamharibu...!!
Kila Doki anapo simama au kuimba jukwaani mkao wake na anavyo simama vinanipa mashaka sana...kama anabana kitu nyuma....washamharibu...!!