Fundi kupaua napatikana Ukonga, Dar es salaam

Fundi kupaua napatikana Ukonga, Dar es salaam

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
812
Reaction score
1,753
Karibuni
Kama unataka kupaua nyumba yako nicheki
0743 257 669 napatikana Dsm kokote tunakuja kupaua nyumba za kisasa
 
Jibu maswali ili tujue kama wewe ni fundi kweli,

1. Nyumba ya vyumba vitatu m3×m3 kimoja master, sebule na public toilet kwa kawaida huingia mbao ngapi kwa mpauo wa mapaa manne na gebo

2. Bei ya kupaua na kupiga bati hutokana na wingi wa bati, ukubwa wa nyumba au style ya upauaji? Je kwa nyumba tajwa hapo juu bei common ni shingapi kwa uliokwisha wafanyia kazi?
 
Back
Top Bottom