Anayehitaji kazi ya kuchimba msingi Unguja nicheki

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
8,549
Reaction score
23,873
Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki
0624254690
Kazi ni kesho kuchimba msingi!
Malipo 30,000
Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana.
Eneo ni karibu na Fuoni kituo Cha Polisi
 
Mkuu ukija na mikoani utangazae hivi hivi hili ni dili wa kwetu,
 
Mkuu niko Paje town huku nakula bata
Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki
0624254690
Kazi ni kesho kuchimba msingi!
Malipo 30,000
Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana.
Eneo ni karibu na Fuoni kituo Cha Polisi
N
 
Back
Top Bottom