Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,016
- 1,762
Watu wakiwa wanaendelea na harakati za kirasiku, sokoni wauza mbogamboga, garage fundi makanika, huku vijana wakiendelea kuchombezana.
Kutatokea shambulio la kushtukiza zito, katika mahala patakatifu ni aidha Msikitini, Ikulu, kanisani, ama kumbi za maonyesho(Kambini).
Wahusika ni mchanganyiko wa wanajeshi kwa wingi na polisi kiasi, Utakuwa ni mtafaruku... Patashika nguo kuchanika.
Kunawatu vinara watakimbulia milimani mabondeni kwenye mito huko lakini msako utaendelea hadi huko, wanajeshi hodari wakiongozwa na mwanamama.
Tuombee operation au shambulio hilo likawe la heri na hatma njema...
Halleluya Amina.
UPDATES
Hii niliisahau na pengine imebeba maana zaidi...
Moja ya wale vinara katika zile ghasia alikimbilia msituni huko, huku wanajeshi wakiwa wanamtafuta kwa nyuma...
Akafika mahali mida ya jioni kando kando ya bonde la mto akatizama pembeni akaona mlima mrefu sana na sehemu ya mbele ya ule mlima ni kama robo ya ule mlima imeporomoka mpaka chini (landslide).
Wazo likamjia achukue simu yake aangalie Google map(satellite image) ili kujua yupo wapi na aelekee wapi maana alipotelea polini ndani ndani huko hana dira ya uelekeo.
Chaajabu wakati amewasha simu na kufungua Google map akiwa ana-zoom in ili kuona current location aliyopo, aliona clear image ya ule mlima kabla haujapolomoka na sehemu ile iliyokwisha kuporomoka aliona mlima wenye umbo kama sanamu ya mwanamke mwenye matiti akiwa anatizama juu angani kwa hiyo akiwa ana-zoom ile satellite image alikua anatizamana na ile sanamu ya mwanamke na akitizama kwa ku-relate na mahali physical feature au sanamu hiyo ya asili ilipo anaona ndio lile eneo la mlima lililoporomoka.
Alistaajabu sana akawa anajiwazia "hi physical feature isingeporomoka ingekuwa ni moja ya maajabu saba ya dunia."
Huu ni Ufunuo, Naamu wenye hekima wanaweza kutufunulia ufunuo huu.
Amina.