Niaje wana JF

Niaje wana JF

ahahaha dogoo uku sio kama Facebook au Instagram, uku hadi mods wanatumia majina na avatar fake
 
Hahahaaa kapotea njia huyu...mrudisheni alikotoka
 
Wajf wabaya nyie...! mmesababisha member mpya kaingia mitini, maskini mwenyewe alijiandaa kweli na bonge la selfie.....Hamisi huku watu ndivyo walivyo rudi usiogope
Achana na wapuuzi ndio maana tumeanzisha Makapuku Forum

Dogo hajavunja RULE YOYOTE ya Jf wanamsakama utafikiri kawaibia vyupi vyao
Jf sio ya baba zao
WANABOA
 
Wajf wabaya nyie...! mmesababisha member mpya kaingia mitini, maskini mwenyewe alijiandaa kweli na bonge la selfie.....Hamisi huku watu ndivyo walivyo rudi usiogope

haha hamisi kakimbia
 
Back
Top Bottom