Ongeza picha basi, weka na dada yako pia, maana huku kuna watu kila kitu utasikia weka picha.
Hahahaah eti kavaa t shirt ya mshua wake.....!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongeza picha basi, weka na dada yako pia, maana huku kuna watu kila kitu utasikia weka picha.
Tecno h6
Umemkomalia dogo mpaka ameona aibu kuendelea kuwepo, jf wakorofi sana na hawatabirikiVery innocent kid![]()
Hawazidi wa JF
Huyu ni wa rock city
Maskini hajarudi tena ana post zake mbili tuu
Hamisi ndio umekimbia moja kwa moja? Rudi japo useme neno...ndio kukua huku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiwa kickboxer usiogope za ugokoUmemkomalia dogo mpaka ameona aibu kuendelea kuwepo, jf wakorofi sana na hawatabiriki
Evidence? [emoji23] [emoji144]Huyu jamaa kajitambulisha na akakimbiaa kubadili jinaa