Niaje wana JF

Nov 4, 2015
36
5
96b768fc36fea2fefaadeac044788c5b.jpg
 
Hahahaha may be "new version ya jf" imemchanganya akaifananisha na fb.

Hamisi Hujambo, Mpanda wanasemaje??? kwani shule imefunga?? au umetoroka???
Wajf wabaya nyie...! mmesababisha member mpya kaingia mitini, maskini mwenyewe alijiandaa kweli na bonge la selfie.....Hamisi huku watu ndivyo walivyo rudi usiogope
 
Back
Top Bottom