Mpanda hakuna watu kama huyu...!!!!Hamisi Hujambo, Mpanda wanasemaje??? kwani shule imefunga?? au umetoroka???
huyo monicca ni muongo sanaMmemwonea dogo, dogo hana shida mbona? Kuna mijinga humu ya kupewa makavu live kama General Galadudu, Monicca ambao kila siku wanaishia kutunga mistori ya uongo,
Mmemwonea dogo, dogo hana shida mbona? Kuna mijinga humu ya kupewa makavu live kama General Galadudu, Monicca ambao kila siku wanaishia kutunga mistori ya uongo,
Linashinda kila siku jf kutunga uongo tu, mitoto mingne sijui ikojehuyo monicca ni muongo sana
Hamisi ndio umekimbia moja kwa moja? Rudi japo useme neno...ndio kukua huku
Maskini hajarudi tena ana post zake mbili tuuHa ha haaaa.
Mie imenichekesha hio 'niaje wana JF'
Hawazidi wa JFMjini watu wana roho mbaya..
Huyu ni wa rock cityMpanda hakuna watu kama huyu...!!!!
Very innocent kidAkielewa atakuja ki jf.
Pande gani hapo dogo hamis?
Aisee mbona hio t-shirt ina shingo kubwa sana, yaani shingo lake limelegea.
Au umeiba ya mshua kupigia picha






