124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,802
- 5,494
We vipi ? nini mimba mwenzako keshazaa nae na mambo ni kama unavyoyaona-tatizo ni kamba huwezi kuachia urithi wa bibi kwa muda mrefu bila tiba yake ,lazima vijana wataigusa hazina ya bibi! hata urithi wa babu usipotimizia haki yake wiki tu unachanganyikiwa!Inakuwaje unaoa halafu unamwacha mkeo bongo?labda ungempa mimba ndio uondoke otherwise lazima apate replacement