"niacheni na chuchu wangu,kifupi ndiye mke wangu...." ray afunguka

Inakuwaje unaoa halafu unamwacha mkeo bongo?labda ungempa mimba ndio uondoke otherwise lazima apate replacement
We vipi ? nini mimba mwenzako keshazaa nae na mambo ni kama unavyoyaona-tatizo ni kamba huwezi kuachia urithi wa bibi kwa muda mrefu bila tiba yake ,lazima vijana wataigusa hazina ya bibi! hata urithi wa babu usipotimizia haki yake wiki tu unachanganyikiwa!
 
Kwahiyo Ray kakubali kugharamia kila expenditure ya mama na watoto 2,duh kupenda kazi tena kazi kweli kweli.
 
kumegewa ni lazma!! ila huyo dada angemegwa na mtu wa maana, sio ray! uchafu mtupu!
 
Frank Mtao- lakini si alioa mzungu waliyekutana Japan ndio akapata mchongo wa kwenda kuishi Australia na binti wa kizungu au Frank alioa wote wawili??!!!

Tena aliaga kabisa kwenye kipindi Alichokuwa anaendesha channel 10, kuwa kapata mzungu baada ya ndoa yenye mateso.
 
Tena aliaga kabisa kwenye kipindi Alichokuwa anaendesha channel 10, kuwa kapata mzungu baada ya ndoa yenye mateso.

There you are mamito!!
Samahani lakini,hayo macho na lips ni real vyako??!! Niazime niangalizie CECAFA challenge huku nikishushia kinywaji!!! Me jst inlove with those vifaa!!!
 
There you are mamito!!
Samahani lakini,hayo macho na lips ni real vyako??!! Niazime niangalizie CECAFA challenge huku nikishushia kinywaji!!! Me jst inlove with those vifaa!!!

Wanaume bwana!! image.jpg
 
huyu ray cjui km bado hajaungwa kwenye makapuya mara dotnata, johar,chuchu,huyo wa max ambaye naye wanasema ni kapuya lol akapime kwanza papuchi zote hiz na nyingine za ju kwa ju khaaa af wa zaman xana huyu jamaa tangu anacheza sindimba hadi leo,mmm ni mzee sema mkorogo unamsaidia
 
Ray nae huwa hajui kuchagua mademu wakali,vitu vikali vyote alikua anakula the great,afadhali haka angalau
 
tena unapotea zaidi ya miaka 10 eti unatafuta maisha unaona njia pekee ni kumtumia pesa .

hii lazima utasaidiwa tu na vijana

udaku tu ,wanaotafuta maisha bongo infinity years HUWAONI????sembuse hio kumi ???......,wangapi wanandoa wanaishi pamoja na wana.tombewa wake waume zao sio mbali na urefu wa pua zao....usingizie distance,mbona wajane wengiine hawatombwi hovyo hovyo........
 
Wabongo bana......kama kusoma hamjui si muangalie picha.

Miaka yote hiyo ughaibuni kama bado alimtaka huyo bibie si angemchukua wakaishi wote ?...hiyo ni aina nyingine tu ya kibuti mazee.

Ila Ray ataasili katoto kazuri.

............ila wenzangu nawapongeza kwa kutafuta data.....hizi nguvu tukiwekeza kwenye science tutafanikiwa kusafisha maji ya bahari na kuyafanya yatumike na binadamu...majumbani na mashambani......pia tutawauzia na nchi jirani wasio na access na maji ya maziwa na bahari.

ata kaasili katoto kazuri, ila kakikua ataanza kukananilii kama yeye na kanumba walivyo mnanilii Lulu kuanzia umri wa miaka 11
 
Back
Top Bottom