kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,299
- 6,321
Hauna ule wimbo Wa kizalendo KIJANA UWE TAYARI KULITUMIKIA TAIFA!!
Wimbo wa kimapinduzi: Sisi sote tumegomboka
Inigia hapo kuuskiliza
Link ingine hii ya video live Uwanja wa Aman
Hauna ule wimbo Wa kizalendo KIJANA UWE TAYARI KULITUMIKIA TAIFA!!
Wimbo wa kimapinduzi: Sisi sote tumegomboka
Inigia hapo kuuskiliza
Link ingine hii ya video live Uwanja wa Aman
Mbilia bel_paka wewewahenga natafuta jina la wimbo ameimba mdada sijui nani
anaimba hivi
mabwana wananitamani mimi sitaki tokea tangu zamani mm sitaki
kiitikio
ooh dada mapenzi ya pesa sio mazuri
nilikutongoza dada nawe ukakubali
wahenga natafuta jina la wimbo ameimba mdada sijui nani
anaimba hivi
mabwana wananitamani mimi sitaki tokea tangu zamani mm sitaki
kiitikio
ooh dada mapenzi ya pesa sio mazuri
nilikutongoza dada nawe ukakubali
Many many thanks mkuuMbilia bel_paka wewe
Just thank Google not memany many thanks mkuu
Nakumbushia tena wadau,nitaupataje?Naombeni mnisaidie kupata wimbo unaitwa
Ole Ola- by James Kaleth&Bob Mitchell & Jez Pike
Album -Ibiza Guitar
Nimeenda YouTube haupo na nimetafuta Google kila ninakopita sipati mahali ambapo upo free,yaani ni lazima uununue.
sawa mkuuJust thank Google not me
EnjoyMwenye full video ya Hawa waimbaji naomba au hata km ni audio naomba msaada wa kuipataView attachment 2082728
Snoop Dogg - I wanna RockHabari wakuu, kuna ngoma flani ya snoop dogg, ambao beat lake ndio lile joti aliloimbia LAKUCHUMPA LA KUMPARAMA
Nimeipata mkuu shukrani....Snoop Dogg - I wanna Rock