Natafuta wimbo zilipendwa wa Christmas, maneno yake;
Iyooo krismas, iyoo, iyooo, iyoo
one,two, three, four
i happy krismas iyooo iyoo....
 
Natafuta wimbo zilipendwa wa Christmas, maneno yake;
Iyooo krismas, iyoo, iyooo, iyoo
one,two, three, four
i happy krismas iyooo iyoo....
Naendelea kuutafuta ila huu nilishawahi kuusikia ila bado sijaupata. Nimekuwekea mingine ambayo kwenye hii thread nadhani zilishawekwa
 

Attachments

  • Barua ya Krismasi ~ VIJANA JAZZ BAND.mp3
    13.1 MB
  • Christmas ~ BABA GASTON.mp3
    9.2 MB
  • Christmas ~ DDC MLIMANI PARK ORCHESTRA.mp3
    6.5 MB
  • Christmas ~ ORCHESTRA SAFARI SOUND.mp3
    4.7 MB
  • Christmas Na Mwaka Mpya ~ SIMBA WANYIKA.mp3
    7.1 MB
  • Christmas Shangilia ~ KAKAI KILONZO.mp3
    8.1 MB
  • Kakolele Viva Christmas P1 ~ BABA GASTON.mp3
    9.4 MB
  • Mwaka Mpya ~ HAMZA KALALA & BANTU GROUP.mp3
    6.2 MB
  • Noel ~ TANCUT ALMAS ORCHESTRA.mp3
    7.4 MB
  • Nowele ~ MAQUIS DU ZAIRE.mp3
    5.4 MB
  • Rudi Bwana Yesu ~ BABA GASTON.mp3
    8.7 MB
  • Shangilia Christmas ~ KILIMAMBOGO BROTHERS.mp3
    12.7 MB
  • Sikukuu ~ BABA GASTON.mp3
    4.3 MB
1.Jean Baron -Batchi (i.e Tournez Manege)
2.Ottu - Kimanzichana.
3.Nyimbo fulani Awilo Longomba kashirikishwa ina kama kionjo cha wimbo wa Michael Jackson cha who is bad
 
Wakuu mwenye moja kati ya hz nyimbo anisaidie.
1.Lg mobb-Mgambo
2.Hussein Majonzi-Hilda
3.Zf ft tunda man sio siri
4.Luanda-Helena
5.Big Jahman-Sina hata cent
6.Ommy ladoh-Naijutia
7.Joan-Wewe
8.Kiloman-Dar by night
9.Kigwema-binti skendo
10.Kigwema-Naacha mziki
11.Kaka man-Tunda
12.Kaka man-Anjela
13.Kaka man-Kachizika
14.Kaka man-Mwanangu.
15.Sir robby ft chege-Usiniache
16.Master Vapour-Hunifai
17.Katembo-Kikwazo
18.Pijay-Nyama ni nyama
19.Brigedia-Nimemzimia
 
Pia kwa atakaejua majina ya hz ngoma anisaide

1.Alicom kashirikishwa wanaimba hv
Imani imetoweka umebak unyama unyama unyama,iman imetoweka hv sasa usalama hakuna hakuna


2 Pia nyingine kaimba enika wanaimba hv baadh ya mistar
.........mm nawe tugombaaaneeeee,because i love.......i wanna just......

3.Umeimbwa na john walker.

Wewe wewe mimi nakupenda weww.
Siku niliyokuona dada kuku nikaita mwewe,
Hata pombe nitaacha dada ukisema wewe,
Nitabadili kabila dada nifute yako ww

4.Mwimbaji simjui ila unaimbwa hv
"Hujatulia mtu mzima wewe mapepe".
Humo ndan nadhan soul na faith wapo

5.Waridi ft h baba-Dear

6.kuna dada m1 kaimba wimbo kwamba ana wasiwasi na kupigwa risasi,anawataja baadh ya watu kisha anajiuliza au wanataka kulipa kisasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom