Mwenye Ngoza Za Komba Kuna Ile inaimbwa "Tumeshuhudia Kuagana na Baba yetu, Mwenzetu mwalimu Nyerere" Na Ile Ya "Kama Sio Juhudi Zako Nyerere"
 
Wadau wa hiphop ya bongo
Leo mchana wkt nasikiliza XXL y clouds kuna ngoma moja ya mwana flan cjamjua jina lake na hyo nyimbo....ila ktk hyo nyimbo kuna verse flan humo jamaa kampitia young lunya na mayoung wengine...siukumbuki vzuri ila Nina kaidea ya verse. IPO kama hivi
"nyie mayoung young mnapewa promo, mnajifanya mnatoa freestyle session kumbe mnaandika....freestyle zenyewe hamna jambo" idea ya verse ndo IPO km hvyo.....nilikuwa nahitaji jina LA nyimbo na ikiwezekana na msanii kama kuna MTU yeyote anayemjua.......
 
Wakuu naomba video za
Choka mbaya dadaz ft ferooz yatima
UVC t sheti na jinsi inayoanza mwanzo acha hiyo ya YouTube
Natanguliza shukrani kwenu.
 
Habarini ndugu zangu.

Nautafuta wimbo wa kiswahili wa kitambo kidogo mashairi yake kwnye chorus yasema hivi..

"mama mia mia nakuzimia mia asilimia mia mia.....ehhhh

'Ohhh mama mia naumia moyoni oh mama mia ahhh ohh mama mia ahhhh"....
 
Habarini ndugu zangu.

Nautafuta wimbo wa kiswahili wa kitambo kidogo mashairi yake kwnye chorus yasema hivi..

"mama mia mia nakuzimia mia asilimia mia mia.....ehhhh

'Ohhh mama mia naumia moyoni oh mama mia ahhh ohh mama mia ahhhh"....
Ni wimbo wa DJ Carter akishirikiana na Mad Ice. Huu hapa
 

Attachments

  • Dj catter - Mama Mia.MP3
    5 MB
Kuna wimbo wa kiafrica umeimbw na mwanadada fulani, miondoko ya taratibu kwenye korasi (chorus) wanataja maneno Kama TABURAREE halafu inafata gitaa ya besi ya taratibu.

Kama Kuna anaeufaham hata jina naomba anitajie..jimeshahangaika sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom