mkuu KIOO nashukuru sana ๐๐๐๐
I appreciate mkuu!!
upo juu,tazama vizuriManung'ayembe nautafuta mno....
Mkuu nisaidie wimbo unaitwa Julie wa Bob Rudala.Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Ipo huko juu, pitia vizuriHivi hii albam inapatikana kwel?..na kuna nyimbo wameimba g.w.m mama mwenye nyumba ya kitambo sanaa
Kama upo sijauona kaka,nifowadie tenaipo upo juu,tazama vizuri
Yoram-Moyo UnaumaWakuu kuna wimbo nautafuta sana
Baadhi ya mistari yake
Siku ulioondoka nashindwa kuamini hajui kama utarudi lini uniambie kosa langu nini hadi ukaamua mamy kunipiga chini naomba mamy we rudi nyumbani mwenzio bado niko matatani
Mkuu Idimi kama unao naomba uuweke hapa
Mkuu kama unao naomba uuweke hapaYoram-Moyo Unauma
Mkuu kama unao naomba uuweke hapa
Huu hapa man. EnjoyMkuu nisaidie wimbo unaitwa Julie wa Bob Rudala.