Hahahahahaha daaaaah hata hizo naziomba ndg yangu..... hiyoo mla kunde nimekumbuka mbali mnoo
Siwezi kuapload wimbo nadhani tatizo litakuwa kwa vile natumia App, ikiwa hutojali njoo PM unitumie namba yako ya WhatsApp nitakutumia mkuu.
 
Nafuata wimbo wa Baby ft chid benz _ nitembee

Nimeutafuta kila kona nimeukosa jamani msaada .

Kuna sehemu unaimbwa " niache nitembee nitembee nitembee mbele"
 
Natafuta wimbo wa Cards arts ulikuwa unapigwa redio one kipindi Cha watoto zamani za utoto wangu kabla ya kipindi na baada ya kipindi;

'watoto wasafi moyoni, Ni nyota za macho ya wazazi, sisi ni Maua,tuliyoopendwa na Mungu mwenyezi....'

Mwenye kuwa nao, please share

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ulioimbwa na Varda Arts,

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huu hapaaa, Naomba jina lake au Full mp3 hata kama ni beat tu.
 
Naombe wimbo wa SISTER DAS - SEMA NOO.

Huyu Sister Das ni msanii wa myimbo za Asili kule Mbeya na ameimba nyimbo kadhaa na Wamwiduka.

Nakumbuka mgodini kule Chunya.
 
Kuna wimbo niliwahi kuusikia chorus inataja Dolla, pulla, ..mitcash na brant
Sijawahi kujua uliimbwa na nani niutafute
Sauti nzito kama ya mchiz Mox
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom