Naomba mwenye ule wimbo original wa Olduvai band unaosema "baba kaleta panya.." nimeutafuta kila mahali siupati jamani mwaka wa 5 huu
 
Jamani mwenye nyimbo hizi naziomba
1.K-Mondo sound_Neli
2.African revolution (Tam tam) band_Vijino pembe
3.Muungano band(kata kiu)_Shangingi & Mbio za sakafuni huishia ukingoni
4.Lameck Ditto ft Mh Temba_Kidogo
 
Nilishatangaza dau kwa atakae nipatia wimbo wa PESA uliimbwa na kwaya ya zamani kidogo ila shida ni kwamba nimeisahau jina ila KASHA LA KANDA LILIKUWA NA NOTI YA 500 YA ZAMANI.


UKIIPATA TU NJOO PM UPATE DAU LAKO.
TSH 10,000/-

Goite
Mimi nina kanda ile yenyewe na picha ya noti ya 500 na kwaya ni Uinjilisti Hai ya kule Moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom