hili goma naona ni ngum sana kulipata maana mimi nimeshaliomba zaidi ya mara 10 bila mafanikiondg KIOO Danny msimamo ft mkoloni - nilikuona upo club. nauomba tafadhali.
TUPATE ALBUM YA GANGWE MOBB
JINA:SIMULIZI LA UFASAHA
MWAKA WAKUZINDULIWA:2002
Ipo youtube andika miss tanzaniaHIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.
Kuna wimbo nadhani umeimbwa na king kikii ila sikumbuki vizur. Unaimbwa kupitia chalinze mbalizi na maeneo mengine anayataja mwenye nao
Wakubwa mwenye wimbo wa Philbert kabago ft chelea man samahani my dear atusaidie
Kuna wimbo nautafuta, sikupata kujua umeimbwa na nani. Nilikuwa nikiusikia sana radio Kiss fm. Chorus yake yaimbwa, "kuanzia TZA, TZB mpaka C..sina hata taksi..sina hata taksi..." Mwenye nao tafadhali.
Kama unao mkuuNafikiri aliimba Chindoman
Kioo naomba unisaidie huu wimboMwenye nyimbo ya kimbunga asanteni kwa kuja remix naiomba
Hapana ni JCB(Jesus Come Back)Nafikiri aliimba Chindoman
Ni ya JCBKuna wimbo nautafuta, sikupata kujua umeimbwa na nani. Nilikuwa nikiusikia sana radio Kiss fm. Chorus yake yaimbwa, "kuanzia TZA, TZB mpaka C..sina hata taksi..sina hata taksi..." Mwenye nao tafadhali.