clonazepam
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 247
- 280
ishawekwa humuO ten mkuu Wa mkoa/kamishina daa msaada mweny nayo tafadhali
ishawekwa humuO ten mkuu Wa mkoa/kamishina daa msaada mweny nayo tafadhali
Mkuu kama unao tupia humu...Nash MC - baada ya chuo.
Dah niko mtaani apa naona kama jamaa aliniimbia u wimbo aise..
Ndo naomba wadau wa nipe.Mkuu kama unao tupia humu...
Mkuu KIOO pitia na hapaNaomba
"Anza na Kura" by Ferouz, Afande Sele,Hussen Machozi na jamaa mwengine sikumbuki jina lake.
Sawa Mkuu..Ndo naomba wadau wa nipe.
Asante sana mkuu... kwa kutukumbushs mbali.. Naomba unidondoshee ngoma ya Maalim Nash Mc - Maisha baada ta chuo..ALBUM:FUNGA KAZI
KUNDI:HARD BLASTERS(HBC)
MWAKA:2000
Ilikua na ngoma 11.View attachment 1197548
Ilikua ni Album ya 3 ya HBC ikitanguliwa na BLUST NUFF na MAMBO YA MJINI-(kabla ya NIgga J ambae kwasasa ndo Prof J kujiunga HBC)
Mkuu umetisha sana,TUPATE ALBUM YA GANGWE MOBB
JINA:SIMULIZI LA UFASAHA
MWAKA WAKUZINDULIWA:2002
Habari za majukumu wakuu,tafadhari mwenye nyimbo yoyote yaOMMY G afanye kutuma
Asante sana mkuu... kwa kutukumbushs mbali.. Naomba unidondoshee ngoma ya Maalim Nash Mc - Maisha baada ta chuo..
msanii anaitwa EnyaNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
msanii anaitwa EnyaNatafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia