Kuna wimbo nadhani umeimbwa na king kikii ila sikumbuki vizur. Unaimbwa kupitia chalinze mbalizi na maeneo mengine anayataja mwenye nao
 
Jamani mwenye nyimbo za bendi fulani ya kitambo waliimba nyimbo zenye mashairi km haya "'" "" """"Mbio za sakafuni huishia ukingoni bwanaa.. heri ya kutangulia sio kufika haraka haraka sikuzote haina baraka x2, wenzio walikutazama wakakuona wakuja wakaamua kukuacha uendeleee.. walijua utashindwa bwanaee.. walijua utashindwa mamawee.. walijua utachemka mambo ya kata kiu sio mchezo."""" "" "" "" "" na wimbo mwingine mashairi yake ni haya "" "" "" "" "" mke wa kuoa usimwangalie kwa sura sio gar sio pesa sio simu bali ni tabia woh woh woh woh woh x2, wanapokuja nyumbani nduguzangu shangingi anakasirika yoyo maji ya kupikia anageuza ya kuogexhea watoto oooh yoyo mashangingi, wengi tunajua walio olewa na mashangingi mwisho wake walifukuzwa km mbwa popo. "" "" "" ""Msaada jamani
 
Mkui Kioo tafadhali naomba unisaidie kupata nyimbo zifuatazo
Anakudanganya B love M
Busy SoulnFaith ft Pig Black
Kama huwezi Rama dee ft Lady jay dee
Nimpate wapi Richie Longomba ft Lady jaydee
Na Namtafuta mrembo wa Matonya
 
Wakuu,Naombeni wimbo wa 'Chozi la Yatima' wa Jose Mara nimeutafuta sana sijafanikiwa@KIOO
 
TUPATE ALBUM YA MWANAMAMA WA ZOUK TANZANIA(STARA THOMAS)
ILIYOENDA KWA JINA:NINI SINA?ILIKUA NA NGOMA SITA TU
IMG-20190903-WA0001.jpg
 

Attachments

  • 1. Nini Sina ft ChidBenz.mp3
    3.3 MB · Views: 157
  • 2. Stara Thomas - Shoga Yangu.mp3
    4.7 MB · Views: 136
  • 3. Stara Thomas - Haki.mp3
    4.8 MB · Views: 131
  • 4. Stara Thomas - Maisha.mp3
    1.2 MB · Views: 110
  • 5. Stara Thomas - Nashindwa.mp3
    4.1 MB · Views: 137
  • 6. Stara Thomas ft Suma G - Sintokaa.mp3
    3.6 MB · Views: 128
TUPATE ALBUM YA GANGWE MOBB
JINA:SIMULIZI LA UFASAHA
MWAKA WAKUZINDULIWA:2002
 

Attachments

  • 01 Intro (Temeke, Mikoroshini).mp3
    1,022.4 KB · Views: 106
  • 02 Mtoto wa Geti Kali.mp3
    5.9 MB · Views: 118
  • 03 Tatizo Noti (Feat- Mr. Paul).mp3
    5.9 MB · Views: 109
  • 04 Starter (Feat. Genz Original).mp3
    5.7 MB · Views: 107
  • 05 Ajira (Feat Drez Chief).mp3
    6.5 MB · Views: 104
  • 06 Interlude (Mama Khalidi).mp3
    1.2 MB · Views: 93
  • 07 Mtoto wa Geti Kali (Feat. Ali Choki).mp3
    5.6 MB · Views: 92
  • 08 Simulizi la Usafaha (Feat. Seki).mp3
    5.4 MB · Views: 110
  • 09 Bundasilinga (Feat. HB & Ommy G).mp3
    5.1 MB · Views: 96
  • 10 Ngangari.mp3
    4.7 MB · Views: 108
  • 11 Interlude (Gagwe Radio).mp3
    1.5 MB · Views: 80
  • 12 Vidonge (Feat Nasma Hamisi Kidogo).mp3
    4.7 MB · Views: 121
Nisaidien wimbo unaitwa haiwezekan Mwenye wimbo simjui ila aliyeshirikishwa humo ndan ni Mr blue ni wa kitambo sana
Nahisi ni sadat wa waswahili wimbo moja ya mashairi yaliyomo ni kama hawachekani wenye chongo na mwenye jicho bovu, hauonekani uchawi barabarani,hawachekani punguani na kichaa nafikili ni huo ama?
 
Kuna wimbo cover ya send me a pillow ya juddy bucher..

Ipo kama slow-rege flan hivi... Alafu tamu saana
 
ALBUM:FUNGA KAZI
KUNDI:HARD BLASTERS(HBC)
MWAKA:2000
Ilikua na ngoma 11.
IMG-20190904-WA0001.jpg

Ilikua ni Album ya 3 ya HBC ikitanguliwa na BLUST NUFF na MAMBO YA MJINI-(kabla ya NIgga J ambae kwasasa ndo Prof J kujiunga HBC)
 

Attachments

  • 1. funga kazi.mp3
    4.6 MB · Views: 111
  • 2. Tupo Nyuma.mp3
    5.8 MB · Views: 104
  • 3. hbc- Mamsap.mp3
    4 MB · Views: 93
  • 4. kubwa kuliko.mp3
    5 MB · Views: 89
  • 5. Nusu peponi nusu kuzimu.mp3
    5 MB · Views: 105
  • 6. fanani.mp3
    4.8 MB · Views: 86
  • 7. Chemsha bongo.mp3
    3.7 MB · Views: 76
  • 8. its time 4 action -.mp3
    4.6 MB · Views: 74
  • 9. Chuzi limekubali.mp3
    5.2 MB · Views: 79
  • 10 . Pata Potea.mp3
    3.9 MB · Views: 93
  • 11. Eeh mola.mp3
    5.3 MB · Views: 102

Similar Discussions

Back
Top Bottom