Zakayophillyx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 305
- 101
Mwenye wimbo wa Q CHIEF Unaitwa nikipata mashabiki anisaidie ni wakitambo kidogo 2002
Wakuu mwenye wimbo wa Adili unaoitwa Peke yangu, nauhitaji.
Mwenye "Thabani Mwadobe" by segere anifanyie munaqasha
1-Easy to the I feat.Suma G-Demu Wako
2-Mchizi Mox-Kinyume Nyume
3-Q-Chief feat.Fanani-Mwana Mnyonge
4-Baba Levo-Mbunge wetu Anatucheka.
5-Ngoni Tribe-Tuserebuke(huu wimbo uliimbwa na wale jamaa walioimba Manungayembe,waliurekodi Bongo Records kwa Majani na upo kwenye album ya wasanii wa label ya Majani pa1 na nyimbo kama Kamua ya GWM)
6-Mitaa ya Home(kuna wasanii wa TMK waliimba huu wimbo; Hapa ndio maskani nyumbani ndipo tunapoishi sisi mitaa ya home.)
Natafuta rockaz anthem ya rackaz screw ,(quick racka, mo racka, chiefracka)
Kuna ngoma ya Stereo jamaa anasema.. ' Wanaopenda lift hawaisimamishi hii defender, km mkwawa naresist no sestrete no surrender..'
Maadui awaponi mbele ya komando kipensi..
Nawaza paka mtoni ubongo wangu hauna fens..
Whats the defferent, kat yawakali n nice..
Naombeni sanaaaa hii ktu
Wakuu mwenye wimbo wa Adili unaoitwa Peke yangu, nauhitaji.
Nashindwa kuupandisha nyimbo zina alama ya kivuli...inaitwa -Listen when I say.Kuna ngoma ya Stereo jamaa anasema.. ' Wanaopenda lift hawaisimamishi hii defender, km mkwawa naresist no sestrete no surrender..'
Maadui awaponi mbele ya komando kipensi..
Nawaza paka mtoni ubongo wangu hauna fens..
Whats the defferent, kat yawakali n nice..
Naombeni sanaaaa hii ktu
NAZIKUBALI SANA IZO NGOMA ILA MWENYEWE NIMESHAZIOMBA ILA SIKUZIPATA.Mi nautafuta
1. Hohehahe wameimba Swahili by Nature.
2. Tumbo deni la dunia wameimba Uswahilini Matola.
3. Kitambo kidogo wameimba Big Doggy Pose.
4. Ana ana doo aliimba Soggy Doggy kwa kigugumizi.
5. Usingizi aliimba Soggy Doggy.
6. Mtoto Pili aliimba Dogo Hamidu.
Hizo nimezitafuta bila mafanikio, natanguliza shukrani.
Dah me mwenyewe naitafuta hiiKunanyimbo ili imbwa na ddc mliman park...unasema "wajifanya wajua jua linakuwakia kwa kuwa unatambua kazi yangu ....tafadhali nimeuchafuta bila mafanikio mkuu
Kunanyimbo ili imbwa na ddc mliman park...unasema "wajifanya wajua jua linakuwakia kwa kuwa unatambua kazi yangu ....tafadhali nimeuchafuta bila mafanikio mkuu