KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,154
- 5,680
Kama unao Oten Mimi naomba unitumie.Ni rahisi wewe kunitumia kuliko kupekua page moja moja mpaka pages zote 400
Kama unao Oten Mimi naomba unitumie.Ni rahisi wewe kunitumia kuliko kupekua page moja moja mpaka pages zote 400
Duuu big up sana bro mipito ya hatari. Jina la kazi unatumia Kioo?
Yeah, ngoma zipo za kutosha uzi umeshiba inabidi memory iwe nzito kiongozi. Hahah.
Kwa niaba ya wengine nasema asante sana kiongozi.
Much respekt kwako mkuu. Thanks a lot brother. We kickin' it harder.
2KOPA1 BRO
Pa1 sna bro,, fanya harakat upeleke ngoma radio station man, km una youtube channel bc fanya video weka kwa channel wadau wa Jf sapot yetu unayo man, mi ntaongoza movement ya kushare kaz zako man
Bang Bang nk zote zile maarufu naomba weka kaka
Pamoja pia. Weka ngoma kwa access muhimu ipate sapotiYes bro...!
Thanks a lot kiongozi wangu.
2KOPA1.
Pamoja pia. Weka ngoma kwa access muhimu ipate sapoti
Nimepata mkuu asante sana
Kuna wimbo wao unaitwa sikutaka original version naupenda sana ila naona imeshindikana kupatikana mana Mara nyingi wadau wamekuwa wakipandisha rmx waloimba na dudu bayaNahitaji nyimbo zore za unique sisters za enzi zile kabla ya rmx