Hii pia sio ile original mp3 hii ni video ilikua converted to mp3 ndo inaanzaga hvyo kuna mdada anasema "tunakabwa, wanaiba nguo zetu tukianika kwenye kamba "

Natafuta original mp3 ambayo haina sauti ya huyo dada.
 
Hii pia sio ile original mp3 hii ni video ilikua converted to mp3 ndo inaanzaga hvyo kuna mdada anasema "tunakabwa, wanaiba nguo zetu tukianika kwenye kamba "

Original unamaanisha quality ya truck au unamaanishaje unaposema OG kiongozi...?
 
Namaanisha ile mp3 original sio hii ambayo ni video mtu aka convert kuwa mp3 nadhan umenielewa vizuri hapo, kwenye mp3 yenyewe OG Huyo dada anaesema tunakabwa wanaiba nguo zetu tukianika kwenye kamba hasikiki. Nnanyo Sema sahv nipo porini huku na nimejiskia tu kusikiliza hiyo Nyimbo ndo maana nimeiomba hapa leo, na ile mp3 original ina quality kubwa sana kuliko hii video ilikua converted that's why!!
Original unamaanisha quality ya truck auto unamaanishaje unaposema OG kiongozi...?
 
Namaanisha ile mp3 original sio hii ambayo ni video mtu aka convert kuwa mp3 nadhan umenielewa vizuri hapo, kwenye mp3 yenyewe OG Huyo dada anaesema tunakabwa wanaiba nguo zetu tukianika kwenye kamba hasikiki. Nnanyo Sema sahv nipo porini huku na nimejiskia tu kusikiliza hiyo Nyimbo ndo maana nimeiomba hapa leo, na ile mp3 original ina quality kubwa sana kuliko hii video ilikua converted that's why!!

Feel The Vibez Blood. Take This.
 
Attachments

  • Kikosi_Cha_Mizinga_Hip_Hop_Bila_Ya_Madawa.mp3
    4.7 MB · Views: 116
Shukran sana mkuu,ukiwapandishia raia vibao vingine naomba usisahu kibao cha zamani cha weusi ft bushoke-kila wakati
 
Pamoja sana aisee unapomsaidia mwengine mwisho wa siku utajikuta umejisaidia/unajisaidia mwenyewe.

Hata siku nikipoteza package ya ngoma nilizonazo najua nyingi nitazipata hapa.

So u'swaze blood pamoja sio.
Kweli kabisa mkuu, mimi pia binafsi sio mchoyo wa kugawa nilivyonavyo maana kuna leo na kesho unaweza aamka hard drive zote zimecorrupt na kama ulikua hujasambaza nje kwa watu basi ndo ushapoteza mazima.

Nakuombea sana kwa Mungu akupe afya na uzima maana bado unahitajika sana hapa jukwaani kwa msaada mkubwa unaotoa mkuu KIOO
 
God Bless You Indeed Brother, Umefanya Kazi kubwa sana aisee

Secret service nae alitisha sana asee,

Af kuna nyimbo flan ya jamaa mkenya nliiomba nkaku cc kka "ss babygal, sio kamdigida nataka nikutach" Naisaka sana hyo track man @KIOO
Hahahahah GOD BLESS KIOO pia na wengine wote bila ya kumsahau mleta uzi Secret Star.
 
Kweli kabisa mkuu, mimi pia binafsi sio mchoyo wa kugawa nilivyonavyo maana kuna leo na kesho unaweza aamka hard drive zote zimecorrupt na kama ulikua hujasambaza nje kwa watu basi ndo ushapoteza mazima.

Nakuombea sana kwa Mungu akupe afya na uzima maana bado unahitajika sana hapa jukwaani kwa msaada mkubwa unaotoa mkuu KIOO

Yeah, real talk brother...! PA1.
 
God Bless You Indeed Brother, Umefanya Kazi kubwa sana aisee

Secret service nae alitisha sana asee,

Af kuna nyimbo flan ya jamaa mkenya nliiomba nkaku cc kka "ss babygal, sio kamdigida nataka nikutach" Naisaka sana hyo track man @KIOO

Bado naifanyia kazi kwenye maktaba zangu kiongozi wangu.

When am done, will let u know bro. Thanks.

Welcome.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom